-
Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Jan 03, 2020 02:33Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.
-
Trump apandwa na hasira kutokana na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Dec 31, 2019 23:23Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha radiamali yake kutokana na kufanyika maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa nchi hiyo huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapinga vikali kuendelea urais wa Trump
Dec 31, 2019 09:39Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa, idadi kubwa ya Wamarekani weusi, yaani Wamarekani wenye asilia ya Afrika wanatekeleza mikakati maalumu ya kuhakikisha kuwa Donald Trump hachaguliwi tena kuwa rais wa nchi hiyo.
-
Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani
Dec 30, 2019 23:14Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.
-
Gazeti la Marekani lafichua mazungumzo ya siri aliyofanya wakili wa Trump na Rais wa Venezuela
Dec 30, 2019 09:00Gazeti la Washington Post linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuwa wakili binafsi wa Rais Donald Trump, Rudy Giuliani alifanya mazungumzo ya simu na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Joe Biden: Trump atimuliwe kutoka White House
Dec 29, 2019 23:12Joe Biden, mgombea aliye na nafasi nzuri ya kushinda uchaguzi wa awali ndani ya chama cha Democrat nchini Marekani kuelekea uchaguzi wa rais wa 2020, ametaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo atimuliwe kutoka ikulu ya White House.
-
Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria
Dec 28, 2019 07:13Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje
Dec 27, 2019 04:22Gazeti moja la Marekani limeeleza uwezekano wa kubadilishwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na kuteuliwa mtu mwingine mahala pake.
-
Wajerumani: Trump ni hatari kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa
Dec 26, 2019 22:52Uchunguzi mpya wa maoni umeonyesha kuwa, raia wengi wa Ujerumani wanaamini kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni hatari kubwa zaidi kwa usalama na amani ya dunia.
-
Jarida la Christianity Today la Marekani lamponda tena Trump
Dec 24, 2019 08:16Jarida la Kiinjilisti la Christianity Today la Marekani kwa mara nyingine tena limemkosoa vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo, likisisitiza kuwa mwanasiasa huyo wa Republican anapaswa kuondolewa ofisini.