• John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    Dec 24, 2019 03:32

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akitumia mabavu dhidi ya nchi shindani na zinazopinga siasa za Washington, pia anatekeleza siasa za vitisho na mazungumzo ya siri dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Katibu Mkuu wa NATO akiri kushtadi mzozo ndani ya shirika hilo la kijeshi

    Katibu Mkuu wa NATO akiri kushtadi mzozo ndani ya shirika hilo la kijeshi

    Dec 18, 2019 09:22

    Nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), zimershiriki katika kikao cha maadhimisho ya mwaka wa 70 tangu kuasisiwa taasisi hiyo ya kijeshi katika hali ambayo tofauti na changamoto kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma, zinauweka mustakbali wake katika hali isiyojulikana.

  • Kupitishwa bajeti ya kijeshi ya 2020 katika Seneti ya Marekani; kuzidi kuaminisha utumizi wa nguvu za kijeshi

    Kupitishwa bajeti ya kijeshi ya 2020 katika Seneti ya Marekani; kuzidi kuaminisha utumizi wa nguvu za kijeshi

    Dec 18, 2019 04:06

    Marekani ni nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, yakiwa ni matokeo ya sera yake ya kuaminisha zaidi kutumia mabavu na nguvu za kijeshi katika uga wa kimataifa. Washington huongeza kila mwaka bajeti yake hiyo; na kwa kufanya hivyo kupiga hatua zaidi za kupanua na kuimarisha nguvu zake za kijeshi.

  • Madaktari wa magonjwa ya akili wa Marekani wana shaka kuhusu afya ya kiakili ya Trump

    Madaktari wa magonjwa ya akili wa Marekani wana shaka kuhusu afya ya kiakili ya Trump

    Dec 08, 2019 23:12

    Barua iliyosainiwa na madaktari 350 wa magonjwa ya akili wa nchini Marekani na kutumwa kwa kongresi ya nchi hiyo imedai kuwa afya ya kiakili ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inazidi kuwa mbaya kwa kasi katika wakati huu ambapo natija ya vikao vya uchunguzi wa kumsaili rais huyo ikitazamiwa kuwasilishwa kwa kongresi siku ya Alhamisi.

  • Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Dec 06, 2019 04:34

    Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.

  • Trump akaribia kusailiwa na kufikishwa mahakamani

    Trump akaribia kusailiwa na kufikishwa mahakamani

    Dec 04, 2019 21:50

    Hatimaye baada ya wiki kadhaa za vikao vya uchunguzi vya wazi na vya faragha, kamati ya intelijensia ya bunge la wawakilishi la Marekani imemtuhumu rasmi Rais Donald Trump kuwa alitumia vibaya madaraka yake kuhusiana na suala la Ukraine na kujaribu kuizuia kongresi kutekeleza majukumu yake.

  • NATO na changamoto zinazoikabili wakati inaadhimisha mwaka wa 70 wa kuasisiwa kwake

    NATO na changamoto zinazoikabili wakati inaadhimisha mwaka wa 70 wa kuasisiwa kwake

    Dec 04, 2019 04:42

    Nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO zinakutana mjini London, Uingereza katika mkutano unaoadhimisha mwaka wa 70 tangu kuasisiwa shirika hilo la kijeshi, huku tofauti kubwa na changamoto za mivutano zilizopo ambazo hazijawahi kushuhudiwa, zikiuweka mashakani mustakabali wake.

  • Trump akosoa matamshi ya Macron kuhusu Nato

    Trump akosoa matamshi ya Macron kuhusu Nato

    Dec 03, 2019 09:00

    Rais wa Marekani ameyataja matamshi ya Rais mwenzake wa Ufaransa kuhusu Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kuwa yaliyotiwa chumvi.

  • Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Dec 01, 2019 03:10

    Uingiliaji unaoongezeka kila siku wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Uingereza hususan kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa Bunge la Uingereza siyo tu kwamba, umekabiliwa na ukosoaji wa chama cha upinzani cha Leba, bali filihali chama tawala cha Kihafidhina (Conservative) nacho kimeonyesha wasiwasi kilionao kuhusiana na suala hilo.

  • Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Nov 30, 2019 01:01

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa za upande mmoja na kuiondoa nchi hiyo katika mitakaba muhimu ya kimataifa, kinyume kabisa na matarajio na mitazamo ya Umoja wa Ulaya na hivyo kupanua pengo la tofauti kati ya pande hizo mbili za Bahari ya Atlantiki.