-
Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan
Nov 30, 2019 01:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.
-
Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan
Nov 29, 2019 07:44Katika safari yake ya ghafla nchini Afghanistan, Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo.
-
Kamanda wa zamani wa kikosi cha wanamaji wa Marekani akosoa vikali sera za Trump
Nov 28, 2019 23:05Kamanda wa jeshi la wanamaji katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni, ameelezea uingiliaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika hukumu za vyombo vya mahkama ya kijeshi kupitia jumbe zake za mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, hatua hiyo haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
Mkewe Trump apokelewa kwa malalamiko na kuzomewa na wanachuo wa Maryland Marekani
Nov 28, 2019 01:16Wanachuo wa Marekani waliokuwa wamekusanyika katika Chuo Kikuu cha Maryland huko Baltimore kusikiliza hotuba ya Bi Melania Trump mke wa Rais Donald Trump wa Marekani wamempokea mke huyo wa rais kwa kumzomea.
-
Assad: Asante ya Trump kwa Syria kuhusu kuuliwa al Baghdadi ni mzaha
Nov 27, 2019 21:51Rais wa Syria amehoji mchezo wa maonyesho unaofanywa na Marekani kuhusu kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh na kueleza kuwa: Madai ya Marekani kwamba Syria ilishiriki katika mauaji hayo ni moja ya mizaha ya Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Kupigwa kalamu nyekundu Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Marekani kwa kupinga amri ya Trump
Nov 26, 2019 03:14Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kukiuka na kufumbia macho taratibu za kisheria ambapo mara kwa mara amekuwa akiingilia moja kwa moja masuala tofauti ya idara za serikali na za jeshi la nchi hiyo.
-
Trump: FBI ilitaka kupindua serikali yangu
Nov 24, 2019 23:19Rais Donald Trump wa Marekani amekosoa vikali mwenendo wa uchunguzi kuhusu kampeni za uchaguzi wa rais wa mwaka 2016 na kudai kuwa, Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) lilikuwa na nia ya kupindua serikali yake.
-
Madai ya kijuba ya Marekani kuwa eti inakalia visima vya mafuta vya Syria kisheria
Nov 24, 2019 04:23Tokea mwaka 2014, Marekani iliingia nchini Syria kinyume cha sheria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la ISIS (Daesh). Kinyume na madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ataondoa askari wa Marekani walioko Syria, hivi sasa wanajeshi hao wameongeza muda wa kuwepo kwao katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa kisingizio kingine.
-
Trump awatisha mashahidi wa faili la kusailiwa kwake
Nov 19, 2019 23:01Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuwafukuza kazi mashahidi ambao wanashirikiana na kongresi ya nchi hiyo katika faili la kusailiwa kwake
-
Umaarufu wa Donald Trump wazidi kuporomoka nchini Marekani
Nov 18, 2019 23:11Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonesha kuwa, idadi kubwa zaidi ya Wamarekani hawamtaki rais wa nchi hiyo Donald Trump na wanaamini kwamba ni mkosa katika kashfa ya "Ukraine Gate."