-
Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani
Nov 17, 2019 09:57Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Mkutano wa BRICS na tahadhari ya Putin kuhusu vikwazo vya Marekani
Nov 15, 2019 03:08Viongozi wa nchi wanachama katika jumuiya ya BRICS unayojumuisha nchi tano za Russia, Brazil, China, India na Afrika Kusini wamekutana katika mji mkuu wa Brazil, Brasilia. Mkutano huo umefanyika katika siku za tarehe 13 na 14 na ulilenga kupanua zaidi ushirikiano wa masuala ya kifedha na kiuchuni baina ya nchi wanachama na kuleta mabadiliko katika muundo wa sasa wa kimataifa.
-
Trump: Ni bora kufanya biashara na China kuliko Ulaya
Nov 13, 2019 04:24Rais Donald Trump wa Marekani ameutuhumu Umoja wa Ulaya kwa kuweka vizuizi vya kutisha vya kibiashara.
-
Indhari ya Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani kuhusu kusambaratika NATO
Nov 12, 2019 04:27Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ni maarufu kwa kuibua utata, angali anaendelea kukosoa vikali Muungano wa Kijeshi wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) . Trump hasa anawakosoa wanachama wa bara Ulaya katika muungano huo kwa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani nao sasa pia wanafuata nyayo za Trump katika kuukosoa muungano wa kijeshi wa NATO.
-
Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi
Nov 11, 2019 23:26Licha ya Rais Donald Trump kukariri mara chungu nzima kwamba, Washington itaondoa wanajeshi wake katika eneo la Asia Magharibi hususan katika nchi za Syria na Afghnaistan, lakini hali ya mambo ilivyo inaonyesha kuwa, Marekani imeazimia kubakisha na hata kuongeza idadi ya wanajeshi wake pamoja na zana za kijeshi katika eneo hili ikiwa ni katika kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kibabe.
-
Madai ya Trump: 'Sina hofu ya kusailiwa'
Nov 09, 2019 04:11Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba hana hofu yoyote na mwenendo wa kusailiwa kwake.
-
Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo
Nov 09, 2019 04:05Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa aklilidunisha Shirika la Kijeshi la Muungano wa Nchi za Magharibi (NATO) huku akikosoa wananchama wa muungano huo kutokana na kutoshiriki katika kuchangia bajeti ya muungano huo hasa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi.
-
Ripoti: Aghalabu ya Wamarekani hawamuamini Trump
Nov 06, 2019 21:43Utafiti mpya unaonesha kuwa, akthari ya wananchi wa Wamarekani wanatiwa wasiwasi na utendaji kazi wa Rais Donald Trump, na wamepoteza imani na uongozi wa mwanasiasa huyo wa chama cha Republican.
-
Kufichuliwa watu wa karibu na Trump waliomshinikiza balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine
Nov 05, 2019 23:38Balozi wa zamani wa Marekani nchini Ukraine ametoa ushahidi kwamba alitakiwa kuunga mkono wazi jumbe za mtandao wa kijamii wa Twitter za Rais Donald Trump, ili asifutwe kazi.
-
Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi
Nov 05, 2019 08:49Watetezi wa haki za binadamu wamekosoa baadhi ya sheria ngumu za uhamiaji za Marekani na kutangaza kuwa nchi hiyo si salama na mahala pa amani kwa wakimbizi katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.