-
Uamuzi wa Chama cha Brexit wa kutoshiriki katika uchaguzi wa mapema nchini Uingereza
Nov 04, 2019 23:00Matukio yanayohusiana na kujiondoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) yameingia katika hatua mpya baada ya Bunge la nchi hiyo kuafiki uamuzi wa kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati.
-
Nusu ya wapiga kura nchini Marekani hawatampa kura Trump
Nov 04, 2019 08:35Uchunguzi wa maoni uliofanywa kwa pamoja na vyombo viwili vya habari vya nchini Marekani unaonyesha kuwa nusu ya wapiga kura nchini humo hawatampigia kura Trump.
-
Mahakama yasimamisha sera ya Trump dhidi ya wahamiaji
Nov 03, 2019 04:34Jaji wa Mahakama ya Federali ya Wilaya ya Portland, jimboni Oregon ncini Marekani amesitisha kwa muda utekelezaji wa sera iliyotangazwa na utawala wa Rais Donald Trump ya kuwataka wahamiaji kuthibitisha kuwa wana uwezo wa kugharamia bima ya afya au matibabu kabla ya kupatiwa kibali cha kuingia nchini humo.
-
Larijani: Trump ni nembo ya sura ya kuogofya ya Marekani
Nov 03, 2019 04:31Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema tabia ya Donald Trump ya kufichua sera haribifu zilizofichika za Ikulu ya White House ya Marekani imeweka hadharani sura halisi, mbaya na ya kuogofya ya Washington.
-
Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh
Nov 02, 2019 23:02Baada ya kuanza mgogoro wa Syria hapo mwaka 2011 na vita vilivyosababishwa na mgogoro huo, Marekani ilikuwa na nafasi muhimu na kuu katika kuundwa na kujitokeza makundi ya kigaidi nchini humo hususan kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh; suala ambalo Washington imefanya jitihada kubwa za klificha kwa kuanzisha kile ilichodai ni muungano wa kupambana na Daesh.
-
Trump aingilia masuala ya ndani ya Uingereza kwa 'kumponda' Corbyn kuwa hafai kuwa waziri mkuu
Nov 01, 2019 04:38Katika kile kinachoonekana kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Uingereza, Rais Donald Trump wa Marekani amesema, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Leba, Jeremy Corbyn si chaguo mbadala linalofaa kwa uwaziri mkuu wa nchi hiyo.
-
Ukosoaji mkali wa Human Rights Watch kwa Marekani kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Iran
Oct 30, 2019 10:10Baada ya kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump ya Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya mapatano hayo bali hata iliongeza vikwazo vingine vingi na kujigamba kuwa imeiwekea Iran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa ambavyo havijawahi kuwekewa nchi yoyote ile duniani.
-
Trump adai pia habari ya kuuawa mrithi wa Abubakar al-Baghdadi
Oct 30, 2019 01:07Rais Donald Trump wa Marekani ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba askari wa Kimarekani wamemuua pia mrithi wa Abubakar al-Baghdadi, kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Kuangamizwa al Baghdadi na njama za Marekani za kujifanya inapambana na Daesh
Oct 28, 2019 02:29Marekani pamoja na waitifaki wake wa Kiarabu na Kimagharibi ndio waliolianzisha, kulitia nguvu na kuliunga mkono kwa kila namna na hali na mali; genge la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa shabaha ya kuiangusha serikali halali ya Syria.
-
Madai ya upotoshaji ya Trump kwamba Asia Magharibi imestawishwa na Marekani
Oct 27, 2019 04:44Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 na kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi, Marekani ilianzisha hujuma zake dhidi ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambapo mwaka 2001 Washington iliivamia kijeshi Afghanistan, huku mwaka 2003 ikiishambulia Iraq.