Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Kushner: Hamas 'inatekeleza kwa nia njema' makubaliano ya usitishaji vita Ghaza

    Kushner: Hamas 'inatekeleza kwa nia njema' makubaliano ya usitishaji vita Ghaza

    Oct 20, 2025 07:15

    Mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani, Jared Kushner, ambaye ni mmoja wa wapatanishi wake wakuu katika mpango wa kusitisha mapigano Ghaza, amesema harakati ya Palestina ya Hamas imekuwa "ikitekeleza kwa nia njema" makubaliano hayo, akiashiria taarifa zilizopokelewa kutoka kwa wapatanishi wa kikanda waliohusika katika mazungumzo ya usitishaji huo wa vita.

  • Ripoti: Asilimia 97 ya shule za Gaza zimeharibiwa kwa mashambulizi ya Israel

    Ripoti: Asilimia 97 ya shule za Gaza zimeharibiwa kwa mashambulizi ya Israel

    Oct 19, 2025 23:58

    Ripoti rasmi zinasema, mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel yameharibu asilimia 97 ya shule za Ukanda wa Gaza na hivyo kuhatarisha mustakbali wa kielimu wa wanafunzi laki tatu wa Kipalestina katika eneo hilo.

  • HAMAS: Hatutajifunga kukabidhi silaha mpaka yatakapofanyika mazungumzo zaidi

    HAMAS: Hatutajifunga kukabidhi silaha mpaka yatakapofanyika mazungumzo zaidi

    Oct 18, 2025 23:12

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa miaka mitatu hadi mitano ili kuijenga upya Ghaza.

  • Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Oct 17, 2025 22:59

    Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.

  • Israel yaanza ukhabithi wake, yapunguza misaada ya kuingizwa Ghaza hadi nusu, yazuia fueli kikamilifu

    Israel yaanza ukhabithi wake, yapunguza misaada ya kuingizwa Ghaza hadi nusu, yazuia fueli kikamilifu

    Oct 15, 2025 02:33

    Utawala wa kizayuni wa Israel umeueleza Umoja wa Mataifa kwamba, kuanzia leo Jumatano utaruhusu malori 300 tu ya misaada kwa siku, ikiwa ni nusu ya idadi iliyokubaliwa kuingia katika Ukanda wa Ghaza na kwamba hakuna mafuta yoyote au gesi itakayoruhusiwa kuingizwa katika eneo hilo isipokuwa kwa mahitaji maalumu yanayohusiana na miundombinu ya kibinadamu.

  • Mgogoro katika Baraza la Mawaziri la Vita: Je, Ben-Gvir ataweza kusambaratisha baraza hilo la Netanyahu?

    Mgogoro katika Baraza la Mawaziri la Vita: Je, Ben-Gvir ataweza kusambaratisha baraza hilo la Netanyahu?

    Oct 11, 2025 22:47

    Kufuatia kutangazwa makubaliano ya kusimamisha vita na kubadlishana mateka kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Itamar Ben -Gvir Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni ametangaza kupinga vikali makubaliano hayo na kutishia kulimbaratisha baraza la mawaziri la Netanyahu.

  • Makundi ya Muqawama ya Palestina yakataa Ghaza kuwa chini ya utawala na usimamizi wa wageni

    Makundi ya Muqawama ya Palestina yakataa Ghaza kuwa chini ya utawala na usimamizi wa wageni

    Oct 10, 2025 23:52

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS pamoja na makundi mengine washirika ya Muqawama wa Palestina yamesisitiza kuwa uamuzi wowote kuhusu utawala wa baadaye wa Ghaza ni "suala la ndani la Palestina" na kupinga vikali eneo hilo kutawaliwa na kusimamiwa na maajinabi.

  • Kilio cha vyombo vya habari na duru za kisiasa za Israel kwa makubaliano ya usitishaji vita; HAMAS inasalia Ghaza na imeshinda

    Kilio cha vyombo vya habari na duru za kisiasa za Israel kwa makubaliano ya usitishaji vita; HAMAS inasalia Ghaza na imeshinda

    Oct 10, 2025 03:58

    Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza na ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, vyombo vya habari na duru za kisiasa za ndani ya utawala wa kizayuni zimetoa lawama kwa kuashiria matokeo ya vita na kuendelea kubaki thabiti miundo na mihimili ya Muqawama ndani ya Ghaza.

  • Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel

    Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel

    Oct 09, 2025 07:55

    Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha tangazo la kusitishwa vita Ghaza kufuatia siku tatu za mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya harakati ya ukombozi wa Palestina ya Hamas na utawala wa kizayuni Israel nchini Misri kulingana na mpango uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa

    Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa

    Oct 07, 2025 07:05

    Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya Qur'ani Tukufu ambapo katika Surat Muhammad, aya ya 7 tunasoma: "Mkimnusuru Mwenyezi Mungu basi na Yeye atakunusuruni."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS