• HAMAS haitokwama kwa kuuliwa shahidi viongozi wake

    HAMAS haitokwama kwa kuuliwa shahidi viongozi wake

    Mar 25, 2025 06:46

    Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa,  عtawala wa Kizayuni unajidanganya unapodhani kwamba utaweza kuiangamiza Hamas kwa kuwaua shahidi makamanda wake.

  • Hamas: Mauaji ya Wapalestina akiwemo Mbunge yataimarisha Muqawama

    Hamas: Mauaji ya Wapalestina akiwemo Mbunge yataimarisha Muqawama

    Mar 23, 2025 10:59

    Jeshi la Israel limefanya mashambulizi mapya ya kutisha ya anga katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi watu wasiopungua 40, akiwemo Salah al-Bardawil, Mbunge wa Palestina na Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.

  • HAMAS yaisihi dunia: Msiiache Ghaza 'inayovuja damu' iyakabili 'mauaji ya halaiki' peke yake

    HAMAS yaisihi dunia: Msiiache Ghaza 'inayovuja damu' iyakabili 'mauaji ya halaiki' peke yake

    Mar 21, 2025 03:26

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa ombi la kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha "uangamizaji kizazi wa kimpangilio unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwatesa kwa njaa makusudi Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza", jinai ambazo imesema, "zinafanywa kwa usaidizi wa kuaibisha wa kimaitaifa usioweza kuhalalishwa".

  • Makundi ya muqawama yasisitiza kuunganisha juhudi ili kukabiliana na mashambulizi ya Israel

    Makundi ya muqawama yasisitiza kuunganisha juhudi ili kukabiliana na mashambulizi ya Israel

    Mar 20, 2025 10:30

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina (PFLP) zimesisitiza juu ya haja ya kuunganisha juhudi makundi ya muqawama ya Palestina na nchi za Kiarabu ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na kuunga mkono mapambano ya ukombozi katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza na kupinga mipango ya Marekani na utawala wa Kizayuni ya kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina.

  • Moto mpya wa vita wawashwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza kwa msaada wa Marekani

    Moto mpya wa vita wawashwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza kwa msaada wa Marekani

    Mar 20, 2025 09:52

    Kwa kukiuka makubaliano ya usitishaji vita huko Ghaza yaliyoanza kutekelezwa tarehe 19 Januari, utawala wa Kizayuni umeanzisha tena vita vya umwagaji damu dhidi ya eneo hilo lililoharibiwa na vita, kwa kufanya mashambulizi makubwa ya kinyama ambayo yamesababisha mauaji ya mamia ya mashahidi wa Kipalestina na kujeruhi wengine wengi katika ukanda huo.

  • Hamas: Marekani ni mshirika wa moja kwa moja katika vita dhidi ya watu wa Gaza

    Hamas: Marekani ni mshirika wa moja kwa moja katika vita dhidi ya watu wa Gaza

    Mar 19, 2025 07:41

    Msemaji wa harakati ya Hamas amesema harakati hiyo inatekeleza kikamilifu masharti ya makubaliano ya usitishaji vita na kwamba Wazayuni wameyakiuka akisisitiza kuwa, uratibu wa awali wa utawala huo ghasibu na Washington wa kuanzisha tena vita dhidi ya watu wa Gaza unaashiria ushiriki wa moja kwa moja wa Marekani katika jinai zinazofanywa Wazayuni.

  • Maafisa 5 waandamizi wa HAMAS wauawa shahidi katika mashambulio ya Israel Ghaza

    Maafisa 5 waandamizi wa HAMAS wauawa shahidi katika mashambulio ya Israel Ghaza

    Mar 19, 2025 04:14

    Maafisa watano waandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wameuawa shahidi kufuatia mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Hamas yalaani ya mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen

    Hamas yalaani ya mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen

    Mar 17, 2025 02:37

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya maeneo ya makazi ya watu huko Sana'a, mji mkuu wa Yemen.

  • Hamas: Oparesheni ya Salfit ni ujumbe wa muqawama katika kujibu chokochoko za adui

    Hamas: Oparesheni ya Salfit ni ujumbe wa muqawama katika kujibu chokochoko za adui

    Mar 13, 2025 07:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza katika taarifa kuwa oparesheni ya ufyatuaji risasi iliyotekelezwa jana usiku karibu na eneo la Salfit katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu jipya la watu wao na wanamuqawama huru wa Palestina katika kujibu mashambulizi ya kikatili ya utawala ghasibu wa Israel khususan kaskazini mwa ukingo huo.

  • Hamas: Duru mpya ya mazungumzo ya kusitisha mapigano imeanza

    Hamas: Duru mpya ya mazungumzo ya kusitisha mapigano imeanza

    Mar 13, 2025 02:22

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa duru mpya ya mazungumzo ya kusimamisha vita Ukanda wa Gaza, imeanza.