Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Aug 28, 2020 22:07

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amezikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kutokana na jitihada zao za kutaka kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • HAMAS: Msikiti wa al-Aqswa uteandelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu

    HAMAS: Msikiti wa al-Aqswa uteandelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu

    Aug 20, 2020 07:06

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa utaendelea kubakia kuwa mstari mwekundu wa Waislamu na kwamba, kila mkono wenye lengo la kuuvunjia heshima msikiti huo utakatwa.

  • Hamas yapinga vikali kutiwa mbaroni Sheikh Raed Salah

    Hamas yapinga vikali kutiwa mbaroni Sheikh Raed Salah

    Aug 16, 2020 21:59

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumtia tena mbaroni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina ina lengo la kuwafutilia mbali walinzi wa Msikiti wa Al Aqsa.

  • Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza

    Hamas yauonya utawala wa Kizayuni kuhusu chokochoko Ghaza

    Aug 10, 2020 03:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu chokochoko zake katika Ukanda wa Ghaza.

  • Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano

    Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano

    Aug 03, 2020 06:33

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unatekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Ghaza lengo likiwa ni kuwahamishia wananchi wa Palestina migogoro ya ndani ya utawala huo na kupotosha fikra za walimwengu kuhusu matukio na hali mbaya ya kisiasa inayoukabili sasa utawala wa Israel.

  • Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel

    Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel

    Jul 27, 2020 08:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imepinga hatua ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha bajeti ya msaada wa kifedha kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kuwa: Hatua hiyo inaimarisha mienendo ya kibabe na ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • HAMAS na Fat'h kujadili namna ya kukabiliana na mpango wa kuumega Ufukwe wa Magharibi

    HAMAS na Fat'h kujadili namna ya kukabiliana na mpango wa kuumega Ufukwe wa Magharibi

    Jul 25, 2020 03:44

    Harakati za Palestina za HAMAS na Fat'h zimekubaliana kuitisha kikao cha pamoja katika Ukanda wa Gaza kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na mipango ya utawala wa Kizayuni ya kughusubu ardhi za Palestina.

  • Jibu la HAMAS kwa 'ubabe wa kisiasa' wa Marekani unaolenga kuiremba sura chafu ya Israel

    Jibu la HAMAS kwa 'ubabe wa kisiasa' wa Marekani unaolenga kuiremba sura chafu ya Israel

    Jul 23, 2020 05:57

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, matamshi ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya harakati hiyo ni "uzandiki, upotoshaji na ubabe wa kisiasa".

  • Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina

    Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina

    Jul 21, 2020 06:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unabomoa nyumba za wananchi wa Palestinana hivyo inatekeleza kivitendo mpango wake wa kuikalia kwa mabavu sehemu kubwa ya ardhi ya Ukingo wa Mgharibi wa Mto Jordan.

  • Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Jul 07, 2020 03:32

    Harakati za muqawama wa Kiislamu za Hamas ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon zimepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa na kughusubu ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza kuwa, uporaji huo ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS