Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Sep 17, 2017 23:13

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imekubali sharti kubwa lililowekwa na chama cha Fat'h cha Mahmoud Abbas ikiwa ni pamoja na kufanyika chaguzi za kitaifa Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Ghaza.

  • Hamas: Tutafungamana na chaguo la muqawama ili kufanikisha malengo ya wananchi wa Palestina

    Hamas: Tutafungamana na chaguo la muqawama ili kufanikisha malengo ya wananchi wa Palestina

    Sep 14, 2017 03:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa itaendelea kufungamana na chaguo la muqawama kama njia pekee ya kufanikisha malengo ya wananchi wa Palestina katika ardhi yenye uhuru na kujitawala.

  • HAMAS yatoa sharti la kuipatia Israel taarifa za askari wake iliowakamata mateka

    HAMAS yatoa sharti la kuipatia Israel taarifa za askari wake iliowakamata mateka

    Sep 13, 2017 10:29

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema itaupatia utawala wa Kizayuni wa Israel taarifa kuhusu askari wake waliokamatwa mateka katika Ukanda wa Gaza kwa sharti utawala huo haramu uwaachie huru kwanza Wapalestina 54 unaowashikilia kwenye jela zake.

  • Hamas yalaani shambulizi la anga la Israel nchini Syria

    Hamas yalaani shambulizi la anga la Israel nchini Syria

    Sep 07, 2017 23:57

    Harakati ya Mapambnao ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani shambulio la Alkhamisi asubuhi la ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria.

  • Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza

    Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza

    Aug 30, 2017 03:25

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa kidhulma dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Aug 23, 2017 03:15

    Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo imewasilisha kwa serikali ya Misri mpango wa mapendekezo kadhaa ya kupunguza makali ya mzingiro uliowekwa dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Hamas yasisitiza nia njema ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina

    Hamas yasisitiza nia njema ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina

    Aug 11, 2017 21:53

    Afisa wa Uhusiano wa Nje wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, nia njema ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kushughulikia suala la Palestina imethibitika wazi.

  • Mahmoud al-Zahar: Hamas iko tayari kushirikiana na wanaotaka kukombolewa Palestina

    Mahmoud al-Zahar: Hamas iko tayari kushirikiana na wanaotaka kukombolewa Palestina

    Aug 07, 2017 02:38

    Mjumbe mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kushirikiana na watu wote wanaofanya juhudi za kutaka kukombolewa Palestina kutoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.

  • Hamas: Wakati umefika kwa nchi za Kiislamu kuchukua hatua kivitendo dhidi ya Israel

    Hamas: Wakati umefika kwa nchi za Kiislamu kuchukua hatua kivitendo dhidi ya Israel

    Jul 26, 2017 22:52

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ametaka kushinikizwa kivitendo utawala wa Kizayuni ili kutetea na kuunga mkono Msikiti wa al Aqsa.

  • HAMAS yataka kuitishwa kikao cha Waarabu na Waislamu kwa ajili ya al-Aqswa

    HAMAS yataka kuitishwa kikao cha Waarabu na Waislamu kwa ajili ya al-Aqswa

    Jul 21, 2017 22:52

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na msikiti wa al-Aqswa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS