Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Jenerali Mzayuni amuonya Netanyahu kuhusu kuichokoza HAMAS

    Jenerali Mzayuni amuonya Netanyahu kuhusu kuichokoza HAMAS

    Jun 18, 2017 03:21

    Jenerali mmoja Mzayuni amemuonya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu siasa zake mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kusema huko ni kucheza na moto.

  • Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu

    Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu

    Jun 10, 2017 23:55

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga wito uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu la kutaka kujua hatima ya askari wawili wa Kizayuni waliotoweka katika enro la Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Kupanuliwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni moja ya matokeo ya safari ya Trump Mashariki ya Kati

    HAMAS: Kupanuliwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni moja ya matokeo ya safari ya Trump Mashariki ya Kati

    Jun 07, 2017 10:57

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupanuliwa ambako hakujawahi kushuhudiwa kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni moja ya matokeo ya safari ya Rais Donald Trump wa Marekani katika Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah yatoa radiamali na kukosoa Hati mpya ya Kisiasa ya Hamas

    Hizbullah yatoa radiamali na kukosoa Hati mpya ya Kisiasa ya Hamas

    May 02, 2017 23:16

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa muqawama usiopigania kukomboa ardhi yote ya kihistoria ya Palestina hauwezi kuwa na tija wala faida yoyote.

  • HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang

    HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang

    May 01, 2017 03:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa tamko na kuipongeza Korea Kaskazini kwa msimamo wake thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri

    Hizbullah na Hamas zalaani hujuma za kigaidi dhidi ya makanisa huko Misri

    Apr 09, 2017 23:48

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imelaani vikali miripuko ya kigaidi katika makanisa mawili nchini Misri iliyosababisha mauaji, na kwamba hujuma hizo dhidi ya Wakristo ni za kishenzi.

  • Hati mpya ya Kisiasa ya HAMAS: Wakimbizi wa Kipalestina warejee kwenye ardhi zao za asili

    Hati mpya ya Kisiasa ya HAMAS: Wakimbizi wa Kipalestina warejee kwenye ardhi zao za asili

    Apr 03, 2017 03:14

    Baadhi ya vifungu vya hati mpya ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS vimetangazwa vikisisitizia haki ya wakimbizi wote wa Kipalestina walioko maeneo tofauti duniani kurejea kwenye ardhi zao za asili.

  • Israel: Kombora jipya la HAMAS litaishinda ngao yetu ya chuma ya makombora

    Israel: Kombora jipya la HAMAS litaishinda ngao yetu ya chuma ya makombora

    Mar 29, 2017 03:24

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kwamba, kombora jipya la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS, lenye uzito wa kilo 200, litaweza kuishinda ngao ya chuma ya utawala huo.

  • Hamas: Israel ijiandae kwa jibu kali kwa kumuua kamanda wetu

    Hamas: Israel ijiandae kwa jibu kali kwa kumuua kamanda wetu

    Mar 28, 2017 11:57

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua mmoja wa makamanda wake waandamizi.

  • Hamas: Tutaendeleza mapambano ya mtutu wa bunduki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Hamas: Tutaendeleza mapambano ya mtutu wa bunduki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Mar 05, 2017 12:55

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina imesisitiza kuwa itaendeleza mapambano ya mtutu wa bunduki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS