-
Naim Qassem: Marekani na Israel wanajua, Hizbullah itajibu mapigo
Mar 04, 2021 02:55Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel zinajua vyema kwamba uamuzi madhubuti wa harakati hiyo wa kujibu mapigo na uchokozi wa aina yoyote hauwezi kubadilika.
-
Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon
Feb 06, 2021 09:43Luqman Salim mwanaharakati wa kisiasa na mwandishi wa Lebanon aliuawa Alhamisi katika mji wa Nabatiyah ambao wakazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah: Kumwekea vikwazo Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ni mwendelezo wa jinai za Marekani
Jan 09, 2021 09:24Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mkuu wa Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la Al-Hashdu-Sha'abi ni "jinai".
-
Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen
Dec 28, 2020 23:29Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah Jumapili 27 Disemba alifanya mahojiano muhimu na Televisheni ya Al Mayadeen ya Lebanon. Katika mahojiano hayo aliwakumbuka na kuwawenzi Shahidi Luteni Jenerali Hajj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
-
Hizbullah: Shahidi Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya njama za ubeberu wa Marekani
Dec 22, 2020 04:04Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, shahidi Qassem Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
-
Hizbullah: Tawala za Kiarabu katika eneo hazijawahi kuwa pamoja na Palestina
Dec 08, 2020 08:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tawala za Kiarabu zinazotenda jinai katika Mashariki ya Kati hazijawahi kuwa pamoja na Palestina wala kuunga mkono muqawama.
-
Afisa wa Hizbullah: Mfumo wa uchaguzi wa Marekani uko mbali sana na demokrasia
Nov 12, 2020 22:07Afisa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa mfumo wa uchaguzi wa Marekani umejitenga kwa masafa marefu sana na viwango vinavyokubalika vya demokrasia.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Hizbullah: Wananchi wa Lebanon hawatobadilika kwa sababu ya vikwazo vya Marekani
Sep 12, 2020 21:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za vikwazo za Marekani haziwezi kuwafanya wananchi wa Lebanon walegeze kamba na kubadilisha msimamo wao.
-
HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na Hizbullah ya Lebanon
Sep 03, 2020 03:37Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, uhusiano wa kistratejia baina ya makundi ya ukombozi na muqawama na Hizbullah ya Lebanon utapelekea kukombolewa Palestina kutoka kwenye makucha ya maghasibu wa Israel.