Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Muqawama wa Palestina: Hizbullah ya Lebanon imegeuka jinamizi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Muqawama wa Palestina: Hizbullah ya Lebanon imegeuka jinamizi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 30, 2020 03:47

    Msemaji wa Kamati za Muqawama wa Palestina amesisitiza kuwa jibu lijalo ambalo harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepanga kutoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel limegeuka kuwa jinamizi na kitisho kikubwa kwa utawala huo haramu.

  • Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel

    Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel

    Aug 24, 2020 07:26

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel

  • Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon

    Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon

    Aug 22, 2020 03:12

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu kamwe haitoiruhusu Israel na waungaji mkono wake waivamie tena Lebanon.

  • Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33

    Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33

    Aug 14, 2020 03:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kwa serikali na watu wa Lebanon kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi uliojaa fahari wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika Vita vya Siku 33.

  • Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah

    Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah

    Jul 27, 2020 03:45

    Israel imeuomba Umoja wa Mataifa ufanye usuluhishi kwa kuhofia Hizbullah ya Lebanon isije ikalipiza kisasi dhidi yake, huku mgogoro ndani ya utawala huo wa Kizayuni ukizidi kushadidi kufuatia maandamano ya maelfu ya watu ya kumpinga waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah

    Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah

    Jul 26, 2020 09:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umetuma barua kwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kupitia Umoja wa Mataifa.

  • Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah

    Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah

    Jul 23, 2020 03:34

    Duru za habari za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamefuta mazoezi waliyopanga kufanya wakihofia kushambuliwa na harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Hizbullah: Katika kamusi yetu hakuna kitu kinachoitwa 'kusalimu amri'

    Hizbullah: Katika kamusi yetu hakuna kitu kinachoitwa 'kusalimu amri'

    Jul 11, 2020 02:31

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, harakati hiyo pamoja na washirika wake hawataruhusu Marekani na vibaraka wake waitumbukize Lebanon katika ombwe la uongozi na mzozo wa kisiasa.

  • Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, yasema makombora yake yako ange

    Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, yasema makombora yake yako ange

    Jun 21, 2020 23:30

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeutahadharisha utawala wa kizayuni kwamba iwapo utashambulia ardhi ya Lebanon itashambulia maeneo mbalimbali ya utawala huo kwa kutumia makombora yanayolenga shabaha kwa umakini mkubwa.

  • Uchambuzi wa Sayyid Nasrullah kuhusu machafuko ya Lebanon na njama za Marekani

    Uchambuzi wa Sayyid Nasrullah kuhusu machafuko ya Lebanon na njama za Marekani

    Jun 17, 2020 22:23

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa machafuko yanayoshuhudiwa sasa nchini humo ni njama iliyopangwa na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS