Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Harakati ya Answarullah ya Yemen yaipongeza Hizbullah ya Lebanon kwa kuwashinda Wazayuni

    Harakati ya Answarullah ya Yemen yaipongeza Hizbullah ya Lebanon kwa kuwashinda Wazayuni

    May 26, 2020 03:15

    Mohammed Abdul-Salam, Msemaji wa Harakati ya Answarullah ya Yemen ametoa pongezi kwa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kutokana na kulikomboa eneo la kusini mwa nchi hiyo kutoka katika makucha ya utawala pandikizi wa Kizayuni Israel.

  • Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    May 06, 2020 03:25

    Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimelaani vikali hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiorodhesha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kama kundi la kigaidi.

  • Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni

    Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni

    May 04, 2020 22:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sanjari na kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita harakati hiyo ya muqawama kuwa ni kundi la kigaidi, amesisitiza kuwa serikali ya Berlin imeshindwa kuwasilisha ithibati yoyote ya kuyapa nguvu madai yake hayo.

  • Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    May 01, 2020 23:00

    Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Ujerumani ya kuiweka Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kueleza kwamba hatua hiyo inadhihirisha upendeleo na uungaji mkono wa Berlin kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah ya Lebanon yasisitiza mapambano dhidi ya ufisadi na ubeberu wa sarafu ya dola

    Hizbullah ya Lebanon yasisitiza mapambano dhidi ya ufisadi na ubeberu wa sarafu ya dola

    Apr 30, 2020 07:53

    Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ikisema kuwa, mapambano dhidi ya ufisadi na kuzuia ubeberu wa sarafu ya Dola ya Marekani kwenye uchumi wa nchi, ni jambo la dharura.

  • Harakati ya Hizbullah ya Lebanon: Muqawama uko katika kilele cha uwezo na nguvu

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon: Muqawama uko katika kilele cha uwezo na nguvu

    Apr 13, 2020 03:29

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama wa Hizbullah nchini Lebanon ameeleza katika kumbukumbu za shambulio la mwaka 1996 la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo la kusini mwa Lebanon, kwamba vikwazo vya Marekani na vitisho vya utawala wa Kizayuni havijaweza kuzuia mafanikio ya muqawama.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote

    Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote

    Feb 16, 2020 12:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani ni muhusika wa vita vyote eneo la Asia Magharibi na amesisitiza kuwa, ni lazima kuendesha muqawama katika pande zote kukabiliana na utawala huo wa kibeberu wa Marekani.

  • "ISIS walitaka kushambulia ubalozi wa Marekani Lebanon na kuisingizia Hizbullah"

    Jan 24, 2020 02:45

    Gazeti la al Jamhuriyyah la Lebanon limefichua kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) lilikuwa limepanga njama za kushambulia ubalozi wa Marekani mjini Beirut ili kuibebesha lawama harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah hasa baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.

  • Hizbullah: Maelfu ya Maqassim Soleimani watalipiza kisasi cha damu yake

    Hizbullah: Maelfu ya Maqassim Soleimani watalipiza kisasi cha damu yake

    Jan 16, 2020 04:28

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametangaza kuwa, adui asijidanganye kwamba, kwa kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani njia ya mwanamapambano huyo haitaendelea, bali maelfu ya watu mfano wake watajitokeza kulipiza kisasi cha damu yake.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon aunga mkono misimamo ya Hizbullah

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon aunga mkono misimamo ya Hizbullah

    Dec 17, 2019 09:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil ameunga mkono misimamo ya harakati ya muqawama ya Hizbullah katika uga wa kisiasa na kijeshi wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS