Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Hizbullah yapinga masharti ya Marekani kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ya Lebanon

    Hizbullah yapinga masharti ya Marekani kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ya Lebanon

    Nov 26, 2019 04:32

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepinga masharti yaliyotolewa na Marekani kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ya Lebanon.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini

    Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini

    Oct 19, 2019 10:06

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein (as).

  • Hizbullah: Hatutosalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Hizbullah: Hatutosalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Oct 10, 2019 08:37

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa vikwazo vya Marekani haviwezi kudhoofisha imani na ahadi yake ya kulinda nchi na raia.

  • Aoun atetea oparesheni ya Hizbullah dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Aoun atetea oparesheni ya Hizbullah dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Oct 02, 2019 04:35

    Rais wa Lebanon amekutana na Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Lebanon na kutetea oparesheni iliyofanywa na harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni.

  • Sheikh Nabil Qaouk: Vikwazo vya Marekani havijawa na taathira yoyote kwa Hizbullah

    Sheikh Nabil Qaouk: Vikwazo vya Marekani havijawa na taathira yoyote kwa Hizbullah

    Sep 28, 2019 22:59

    Mjumbe wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya harakati hiyo havijawa na taathira na kwamba, vikwazo hivyo ni matokeo ya kukata tamaa Washington.

  • Lebanon yapongeza hatua ya harakati ya Hizbullah ya kulinda nchi dhidi ya Israel

    Lebanon yapongeza hatua ya harakati ya Hizbullah ya kulinda nchi dhidi ya Israel

    Sep 21, 2019 07:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanona sambamba na kubainisha kwamba siasa za serikali ya Beirut ni kujiepusha na aina yoyote ya vita katika eneo, amepongeza hatua ya harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya kulinda nchi hiyo mkabala na shambulio la hivi karibuni la ndege zisizo na rubani za utawala haramu wa Kizayuni.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia

    Sep 10, 2019 08:11

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.

  • Nasrullah: Hizbullah na Iran haziwezi kuyumbishwa na mashinikizo

    Nasrullah: Hizbullah na Iran haziwezi kuyumbishwa na mashinikizo

    Sep 10, 2019 02:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitaendelea kusimama kidete dhidi ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani.

  • Israel yakiri, Hizbullah imetungua ndege yake isiyo na rubani

    Israel yakiri, Hizbullah imetungua ndege yake isiyo na rubani

    Sep 09, 2019 06:56

    Duru zenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitisha kuwa, wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon wametungua ndege isiyo na rubani ya utawala huo.

  • Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah

    Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah

    Sep 03, 2019 22:11

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekiri kuwa askari watano wa Israel walikuwemo ndani ya gari la kijeshi lililoripuliwa na wanamuqawama wa Hizbullah ya Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS