-
Sheikh Naeem Qasim: Muqawama ndio nguzo ya mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni
Aug 05, 2019 01:26Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo pamoja na taifa na jeshi la Lebanon ni nguzo muhimu ya mapambano dhidi ya hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto
Aug 01, 2019 07:57Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi kabisa za watoto na unapuuza makubaliano ya kimataifa yanayohusiana na haki hizo.
-
Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel
Jul 26, 2019 12:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, Lebanon haina hofu yoyote na vitisho vya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Jumanne tarehe 16 Julai 2019
Jul 16, 2019 02:48Leo ni Jumanne tarehe 13 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na Julai 16 mwaka 2019.
-
"Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"
Jul 08, 2019 02:42Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.
-
Hizbullah: Utatuzi wa kadhia ya Palestina kwa fedha ni udhalilishaji mkubwa
Jun 25, 2019 03:36Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya nchini Lebanon Hizbulla, amesema kuwa, mtazamo wa Marekani kwa wananchi wa Palestia kuwa ni watu masikini ambao matatizo yao yanatatuliwa tu kwa fedha, ni udhalilishaji mkubwa kwa watu wa taifa hilo.
-
Hizbullah: Hatua ya Iran kutungua ndege ya ujasusi ya Marekani, ni sisitizo la kujilinda
Jun 23, 2019 02:33Kaimu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kuashiria hatua ya kutunguliwa na Iran ndege ya ujasusi isiyo na rubani ya Marekani, amesema kuwa hatua hiyo inathibitisha kwamba Tehran haitofumbia macho kukiukwa kwa haki yake ya kujitawala.
-
Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani
Apr 20, 2019 04:24Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo kikuu cha ugaidi na uharibifu katika eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.
-
Nasrullah: Hatua ya US dhidi ya IRGC ni thibitisho kuwa Washington imefeli katika eneo
Apr 11, 2019 13:56Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) sambamba na kulaani hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi amesisitiza kuwa, kitendo hicho ni ithibati tosha kuwa Washington imefeli katika njama zake ghalati katika eneo la Asia Magharibi.
-
Israel: Jeshi letu la anga haliwezi kukabiliana na makombora ya muqawama
Apr 07, 2019 02:25Kituo cha Utafiti wa Usalama wa Taifa cha utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake maalumu kwamba jeshi la anga na taasisi za kijasusi za utawala huo, hazina uwezo wa kukabiliana na makombora ya wanamuqawama wa Kiislamu.