-
Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah
Sep 03, 2019 22:11Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekiri kuwa askari watano wa Israel walikuwemo ndani ya gari la kijeshi lililoripuliwa na wanamuqawama wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio
Sep 03, 2019 03:37Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.
-
"Israel haina uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu"
Sep 02, 2019 03:12Mtandao maarufu wa habari unaotembelewa na watu wengi nchini Ugiriki umetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon
Sep 01, 2019 12:46Televisheni ya al Manar imetangaza kuwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeangamiza moja ya zana za kijeshi za Israel katika barabara ya al Thakna katika mji wa mpakani wa Israel wa Avivim na kumuua kamanda wa kikosi kimoja wa jeshi la utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika oparesheni iliyotekelezwa na harakati ya Hizbullah.
-
Sheikh Naeem Qasim: Muqawama ndio nguzo ya mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni
Aug 04, 2019 20:56Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo pamoja na taifa na jeshi la Lebanon ni nguzo muhimu ya mapambano dhidi ya hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto
Aug 01, 2019 03:27Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi kabisa za watoto na unapuuza makubaliano ya kimataifa yanayohusiana na haki hizo.
-
Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel
Jul 26, 2019 08:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, Lebanon haina hofu yoyote na vitisho vya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Jumanne tarehe 16 Julai 2019
Jul 15, 2019 22:18Leo ni Jumanne tarehe 13 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na Julai 16 mwaka 2019.
-
"Siasa za Marekani dhidi ya Iran zimefeli"
Jul 07, 2019 22:12Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimefeli.
-
Hizbullah: Utatuzi wa kadhia ya Palestina kwa fedha ni udhalilishaji mkubwa
Jun 24, 2019 23:06Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Muqawama ya nchini Lebanon Hizbulla, amesema kuwa, mtazamo wa Marekani kwa wananchi wa Palestia kuwa ni watu masikini ambao matatizo yao yanatatuliwa tu kwa fedha, ni udhalilishaji mkubwa kwa watu wa taifa hilo.