Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Hizbullah: Marekani haiwezi kamwe kubadili msimamo wa muqawama

    Hizbullah: Marekani haiwezi kamwe kubadili msimamo wa muqawama

    Feb 25, 2019 05:10

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, misimamo ya Marekani ni misimamo ya kidhalimu, kidikteta na inayokinzana na maslahi ya mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na hivyo haitaweza kubadili misimamo ya muqawama.

  • Taathira za Kimataifa za Mapinduzi ya Kislamu ya Iran

    Taathira za Kimataifa za Mapinduzi ya Kislamu ya Iran

    Feb 10, 2019 08:10

    Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami Salum Bendera katika mfululizo huu wa vipindi hivi maalumu vya Alfajiri Kumi vinavyokujieni kwa manasaba wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini.

  • Maher Hamoud: Katika miaka 40 iliyopita Palestina imekuwa kadhia muhimu kwa Iran

    Maher Hamoud: Katika miaka 40 iliyopita Palestina imekuwa kadhia muhimu kwa Iran

    Feb 10, 2019 01:16

    Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka 40 iliyopita Iran imeheshimu na kushikamana na misingi yake ya thamani ikiwemo kuiunga mkono Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine

    Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine

    Jan 27, 2019 02:36

    Mkuu wa mrengo wa kisiasa wenye mafungamano na Harakati ya muqawama katika bunge la Lebanon umelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, uingiliaji wa Washington daima umekuwa na madhara kwa mataifa mengine na ni doa ambalo linapaswa kusafishwa katika historia ya mwanadamu.

  • Jeshi la Israel launda brigedi mpya kwa hofu na kiwewe cha kukabiliana na Hizbullah

    Jeshi la Israel launda brigedi mpya kwa hofu na kiwewe cha kukabiliana na Hizbullah

    Jan 02, 2019 15:16

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeunda brigedi mpya kwa hofu iliyotokana na madai yake kwamba Hizbullah ina lengo la kuliteka eneo la Al-Jalil lililoko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Harakati ya Hizbullah: Marekani inaondoka Syria kutokana na kushindwa

    Harakati ya Hizbullah: Marekani inaondoka Syria kutokana na kushindwa

    Dec 22, 2018 02:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaondoka nchini Syria kutokana na kushindwa siasa zake katika Mashariki ya Kati na kutoweza kuuhami na kuulinda utawala haramu wa Israel.

  • Hizbullah: Hakuna hata sehemu moja ya Israel itakayosalimika na makombora yetu

    Hizbullah: Hakuna hata sehemu moja ya Israel itakayosalimika na makombora yetu

    Dec 09, 2018 15:11

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, hakuna hata sehemu moja ya Israel ambayo haiwezi kufikiwa na makombora ya harakati hiyo ya muqawama.

  • Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika

    Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika

    Nov 25, 2018 08:07

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).

  • Uwezo wa makombora ya Harakati ya Hizbullah, nukta ya nguvu ya taifa la Lebanon

    Uwezo wa makombora ya Harakati ya Hizbullah, nukta ya nguvu ya taifa la Lebanon

    Nov 12, 2018 07:32

    Akihutubu kwa mnasaba wa 'Siku ya Shahidi' Sayyid Hassan Nasrullah ameashiria nukta ya nguvu ya Lebanon na kusema kuwa uwezo wa nchi hiyo unapatikana katika uwezo wa makombora ya muqawama na ndio maana adui hathubutu kuichokoza nchi hiyo.

  • Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah: Kuundwa serikali ya Lebanon kunategemea uamuzi wa Saad Hariri

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah: Kuundwa serikali ya Lebanon kunategemea uamuzi wa Saad Hariri

    Nov 09, 2018 04:40

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, waziri mkuu mwenye jukumu anao uwezo wa kupata njia ya ufumbuzi wa kimantiki kwa ajili ya kuunda serikali mpya na kwamba suala hilo kwa sasa linategemea uamuzi wake yeye.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS