-
Qassemi: Uingereza haiwezi kudhoofisha irada ya Hizbullah ya kupambana na ugaidi na Israel
Mar 02, 2019 12:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na Uingereza ya kuiweka harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa, hatua za aina hiyo zinazochukuliwa na serikali ya London hazitadhoofisha msimamo wa harakati hiyo wa kupambanana na "ugaidi na Uzayuni."
-
Hizbullah: Marekani haiwezi kamwe kubadili msimamo wa muqawama
Feb 25, 2019 01:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, misimamo ya Marekani ni misimamo ya kidhalimu, kidikteta na inayokinzana na maslahi ya mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na hivyo haitaweza kubadili misimamo ya muqawama.
-
Taathira za Kimataifa za Mapinduzi ya Kislamu ya Iran
Feb 10, 2019 04:40Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami Salum Bendera katika mfululizo huu wa vipindi hivi maalumu vya Alfajiri Kumi vinavyokujieni kwa manasaba wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini.
-
Maher Hamoud: Katika miaka 40 iliyopita Palestina imekuwa kadhia muhimu kwa Iran
Feb 09, 2019 21:46Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka 40 iliyopita Iran imeheshimu na kushikamana na misingi yake ya thamani ikiwemo kuiunga mkono Palestina.
-
Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine
Jan 26, 2019 23:06Mkuu wa mrengo wa kisiasa wenye mafungamano na Harakati ya muqawama katika bunge la Lebanon umelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, uingiliaji wa Washington daima umekuwa na madhara kwa mataifa mengine na ni doa ambalo linapaswa kusafishwa katika historia ya mwanadamu.
-
Jeshi la Israel launda brigedi mpya kwa hofu na kiwewe cha kukabiliana na Hizbullah
Jan 02, 2019 11:46Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeunda brigedi mpya kwa hofu iliyotokana na madai yake kwamba Hizbullah ina lengo la kuliteka eneo la Al-Jalil lililoko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Harakati ya Hizbullah: Marekani inaondoka Syria kutokana na kushindwa
Dec 21, 2018 23:27Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inaondoka nchini Syria kutokana na kushindwa siasa zake katika Mashariki ya Kati na kutoweza kuuhami na kuulinda utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah: Hakuna hata sehemu moja ya Israel itakayosalimika na makombora yetu
Dec 09, 2018 11:41Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, hakuna hata sehemu moja ya Israel ambayo haiwezi kufikiwa na makombora ya harakati hiyo ya muqawama.
-
Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika
Nov 25, 2018 04:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).
-
Uwezo wa makombora ya Harakati ya Hizbullah, nukta ya nguvu ya taifa la Lebanon
Nov 12, 2018 04:02Akihutubu kwa mnasaba wa 'Siku ya Shahidi' Sayyid Hassan Nasrullah ameashiria nukta ya nguvu ya Lebanon na kusema kuwa uwezo wa nchi hiyo unapatikana katika uwezo wa makombora ya muqawama na ndio maana adui hathubutu kuichokoza nchi hiyo.