-
Jeshi la Syria lakanusha kuhusika na utumiaji silaha za kemikali
Apr 04, 2017 16:11Jeshi la Syria limekadhibisha madai ya wapinzani kwamba limehusika na shambulio la silaha za kemikali katika mji wa Khan Sheikhoun, mkoani Idlib.
Jeshi la Syria limekadhibisha madai ya wapinzani kwamba limehusika na shambulio la silaha za kemikali katika mji wa Khan Sheikhoun, mkoani Idlib.