• Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.