-
Mamluki zaidi ya 90 wa Imarati wauawa kusini mwa Yemen
Jan 28, 2022 03:48Duru za Yemen zinaarifu kuwa mamluki zaidi ya 90 wa Imarati wameuawa wakati wa kukabiliana na hujuma ya mamluki hao katika mkoa wa Shibwah.
-
Israel yatiwa hofu na onyo la Yemen la kushambulia Expo Dubai sambamba na safari ya Herzog UAE
Jan 26, 2022 23:06Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na wasiwasi mkubwa kutokana na onyo lililotolewa na vikosi vya ulinzi vya Yemen la kushambulia maonyesho ya Expo Dubai, sambamba na kukaribia safari ya rais wa utawala huo nchini Imarati.
-
Rais wa utawala haramu wa Israel kuitembelea Imarati
Jan 26, 2022 08:45Rais wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
Askari wa Marekani walijificha Abu Dhabi baada ya shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Imarati
Jan 23, 2022 04:27Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la kigaidi la Marekani CENTCOM amekiri kuwa, askari wa jeshi hilo walikimbilia mafichoni kwa kuhofia uwezekano wa jeshi la Yemen kuishambulia tena Imarati, kufuatia shambulio la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi hilo katika mji wa Abu Dhabi.
-
Brigedia Yahya Saree: Makampuni ya kigeni yanashauriwa kuondoka Imarati
Jan 22, 2022 04:34Msemaji wa Jeshi la Yemen ameyashauri makampuni ya kigeni ya uwekezaji kuondoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Imarati; kujitanua kwenye madhara makubwa
Jan 21, 2022 06:27Umoja wa Falme za Kiarabu au kwa jina jingeni Imarati inatekeleza siasa za kujitanua katika eneo la Asia Magharibi, siasa ambazo huenda zikawa na madhara makubwa kwa nchi hiyo.
-
Mashambulio ya Wayamen dhidi ya Imarati; malengo na umuhimu wake
Jan 18, 2022 07:39Jumatatu ya jana tarehe 17 Januari, ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen zilishambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Watu 9 wauawa na kujeruhiwa nchini Imarati baada ya mashambulizi ya Wayemen
Jan 17, 2022 13:35Ndege 20 zisizo na rubani pamoja na makombora 10 ya balestiki ya Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen yameshambulia maeneo muhimu na nyeti ndani ya ardhi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Kenya yajibu mapigo, yasimamisha safari za ndege kutoka Imarati
Jan 11, 2022 04:22Kenya imesimamisha safari zote za ndege za abiria kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu, kujibu hatua ya Imarati ya kuzuia kwa muda usiojulikana ndege zote za kutoka nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutua nchini humo, kwa madai ya vyeti bandia vya Corona.
-
Vikosi vya Yemen vyakamata meli ya Imarati (UAE) iliyokuwa na shehena ya zana za kijeshi
Jan 03, 2022 23:16Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema, operesheni ya kukamata meli ya kijeshi ya Imarati ilikuwa ya namna ya kipekee na akasisitiza kuwa machaguo yote yako mezani kwa ajili ya kujibu mapigo kwa wavamizi.