-
Nukta kadhaa za kuzingatia kuhusu madai ya Imarati ya kupambana na ugaidi
Sep 15, 2021 10:18Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, umeongeza majina ya watu 38 na mashirika 15 katika orodha yake ya watu wanaodaiwa kuunga mkono ugaidi ambapo majina ya Wairani kadhaa yanaonekana katika orodha hiyo.
-
Malengo ya Imarati ya kuvikalia kwa mabavu visiwa vya Yemen
Aug 27, 2021 02:35Ahmed al-Rahwi mwakilishi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen Jumanne wiki hii kwa mara nyingine tena aliutahadharisha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba, nchi hiyo itapewa somo na funzo iwapo haitaondoka katika kisiwa cha Mayyun.
-
Yemen yakosoa Imarati na Israel kukalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun
Aug 25, 2021 12:56Afisa wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema lengo la Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Mayyun kilichoko katika Lango Bahari la Mandab kusini mwa Bahari Nyekundu ni kukidhibiti kutokana na nafasi yake muhimu kijiografia.
-
Hatua hatari ya Imarati kukaribisha nchini upenyaji wa kiusalama wa Israel
Aug 21, 2021 02:26Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Israel vimeripoti kwamba Imarati imeamua kutumia ndege zisizo na rubani za utawala huo katika kusimamia na kulinda usalama wa taasisi na miundomsingi yake.
-
Rais wa Afghanistan aliyeikimbia nchi yuko Imarati; adaiwa kubeba dola milioni 169
Aug 19, 2021 03:43Rais aliyetoroka nchi yake ya Afghanistan Ashraf Ghani yupo katika nchi Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Hilo limethibitishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni Imarati .
-
Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini
Jul 18, 2021 08:19Tovuti ya Marekani ya Foreign Policy imechapisha makala ya wataalamu wawili katika mashirika ya haki za binadamu wakiitaka Imarati (UAE) ishirikiane na serikali ya Afrika Kusini na kuwakabidhi washukiwa wa tuhuma za ufisadi na kuhujumu uchumi.
-
Harakati za ukombozi Palestina zailaani Imarati kwa kufungua ubalozi Tel Aviv
Jul 15, 2021 11:26Harakati za ukombozi wa Palestina zimeilaani nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kufungua ubalozi huko Tel Aviv, wiki chache tu baada ya Israeli kuuwa zaidi ya Wapalestina 255 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Ishara nne za kupamba moto hitilafu kati ya Saudi Arabia na Imarati
Jul 13, 2021 09:11Saudi Arabia na Imarati ambazo katika muongo mmoja uliopita takribani zimekuwa katika mkondo mmoja kuhusiana na siasa za eneo la Asia Magharibi, hivi karibuni tumeshuhudia kushtadi na kupamba moto hitilafu na mzozo katika uhusiano wa pande mbili.
-
Kukosolewa hatua ya Imarati ya kuwapatia uraia Wazayuni
Jul 06, 2021 11:09Ikiwa ni katika mwendelezo wake wa kuimarisha uhusiano wake na utawala haramu wa Israel, serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imechukua hatua ya kuwapatia uraia Wazayuni.
-
Jihad Islami yalaani hatua ya Imarati ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000
Jul 05, 2021 12:28Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000 wa Israel ikisema hatua hiyo ni fedheha na aibu nyingine kwa "serikali ya kisaliti ya Abu Dhabi iliyofanya mapatano na utawala katili wa Israel.