-
Imarati yatakiwa iwaachie huru makumi ya wanaharakati wa kisiasa
Jul 03, 2021 12:39Shirika moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake nchini Uingereza limeeleza wasi wasi wake juu ya kukandamizwa kwa wanaharakati wa haki za binadamu na jinsi wanavyoteswa wakiwa magerezani katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
Imarati yawapa uraia maelfu ya Wazayuni ndani ya miezi 3
Jul 03, 2021 02:43Raia wapatao 5,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamepewa uraia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Imarati yapiga marufuku raia wake kutembelea nchi 8 za Afrika
Jul 02, 2021 06:42Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umewataka raia wake wasitembelee nchi 14 duniani nyingi zake zikiwa ni za barani Afrika kwa madai ya kuenea maambukizo ya kirusi cha corona.
-
Kituo cha MOSSAD chashambuliwa Erbil huku Waziri wa Israel akiitembelea UAE
Jun 30, 2021 02:26Huku Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel akifanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu, kambi ya Shirika la Kijasusi la Utawala huo wa Kizayuni (MOSSAD) imeshambuliwa kwa maroketi katika eneo la Erbil, kaskazini mwa Iraq.
-
Imarati yatumia dola milioni 50 kuzalisha filamu ya kuichafua Qatar
Jun 24, 2021 07:20Umoja wa Falme za Kiarabu umekosolewa vikali kwa kutumia makumi ya mamilioni ya dola kuzalisha filamu ambayo inaisawiri jirani yake Qatar kama 'dola la kigaidi.'
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Imarati
Jun 23, 2021 02:27Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
Wabunge Ufaransa wakosoa kuteuliwa afisa wa UAE kuongoza Interpol
Jun 19, 2021 05:10Makumi ya Wabunge wa Ufaransa wamelalamikia hatua ya kuteuliwa afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa Rais wa Polisi ya Kimataifa (Interpol).
-
Uhusiano wa Imarati na Israel wapigwa na dhoruba
Jun 16, 2021 12:23Siku chache baada ya kuanza utekelezaji wa makubaliano ya mafuta baina ya Abu Dhabi na Tel Aviv, Waziri wa Mazingira wa utawala haramu wa Israel ametoa mwito wa kufutwa mapatano hayo.
-
Majibu ya HAMAS kwa matamshi ya kichochezi na ya kujikomba kwa Wazayuni ya waziri wa Imarati
Jun 14, 2021 09:19Matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Hizbullah ya Lebanon na kundi la Ikhwanul Muslim, yamejibiwa na harakati ya HAMAS ya Palestina.
-
Kufunguliwa ubalozi wa Imarati huko Tel Aviv, pongezi kwa Israel kwa mauaji yake dhidi ya watoto wa Gaza
May 31, 2021 11:51Serikali ya Imarati jana tarehe 30 Mei ilifungua rasmi ubalozi wake mjini Tel Aviv.