-
Kan'ani: Usitishaji vita Gaza ni hatua ya kwanza ya kusitisha jinai za kivita za utawala wa Kizayuni
Nov 24, 2023 02:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa usitishaji vita wa muda wa kibinadamu uliofikiwa Ukanda wa Gaza ni hatua ya awali kuelekea kusitisha jinai za kivita za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Raisi: Israel haijaambulia chochote katika vita vyake Gaza
Nov 23, 2023 04:05Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Israel imefeli kufikia malengo yake yote katika hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Eslami: IAEA iache kuingiza siasa kwenye kesi ya Iran
Nov 22, 2023 23:37Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ameutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ujiepushe na tabia ya kuingiza siasa kwenye faili la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Israel ni dhaifu kuliko utando wa buibui
Nov 18, 2023 00:20Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imefichua kuwa utawala haramu wa Israel ni dhaifu kuliko hata nyumba ya buibui.
-
Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza
Nov 18, 2023 00:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaki vita vya Gaza vipanuke, lakini yumkini vitasambaa zaidi katika maeneo mengine kwa kuwa Marekani inachochea mgogoro huo kwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jibu la Iran kuhusu kupasishwa azimio la Canada dhidi yake
Nov 17, 2023 05:44Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepitisha azimio jipya kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran katika hali ambayo idadi ya walioliunga mkono ilikuwa ndogo kuliko ya wale waliolipigia au kujizuia kupiga kura.
-
Kan'ani: Waungaji mkono wa Israel hawana haki ya kuinasahi Iran kuhusu haki za binadamu
Nov 16, 2023 23:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja azimio dhidi ya Iran kuhusu haki za binadamu lililopasishwa katika kamati ya tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ni kinyume cha sheria na lilsilokubalika hata kidogo.
-
Amir Abdollahian: Hali ya Syria imekuwa ngumu kutokana na uingiliaji wa Marekani
Nov 16, 2023 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kikao na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria kwamba hali ya Syria imekuwa ngumu kutokana na uingiliaji wa Marekani.
-
Iran: Marekani inaipa Israel silaha zilizopigwa marufuku kimataifa
Nov 16, 2023 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kuipa Israel silaha zilizoharamishwa kimataifa kama vile mabomu ya fosforasi ili utawala huo wa Kizayuni utumie silaha hizo dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian: Hakuna uwezekano wa Israel kushinda vita vya Gaza
Nov 15, 2023 10:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mwito wa kusitishwa mara moja uvamizi na mashambulizi ya kikatili ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna nafasi na uwezo wa kupata ushindi katika vita hivyo.