-
Madai ya Ufaransa kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran, kuendelezwa sera za kindumakuwili za Ulaya
Oct 23, 2021 22:55Sambamba na mkutano wa Ijumaa ya wiki hii baina ya wawakilishi wa Marekani na nchi za Ulaya uliofanyika mjini Paris, Ufaransa imeitaka Iran ipunguze shughuli zake za kuzalisha nishati ya nyuklia.
-
Jumapili, 24 Oktoba, 2021
Oct 23, 2021 22:53Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 24 Oktoba 2021 Miladia.
-
Mwanazuoni wa Kisunni Iran asisitiza kuhusu umoja wa Waislamu
Oct 23, 2021 08:19Mkrugenzi wa Chuo cha Kidini cha Ahul Sunna cha Al Ahnafekhaf katika mkoa wa Khorassan Razavi kaskazini mashariki mwa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kulinda umoja na mshikamano baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni ili kuvunja njama za maadui.
-
Raisi Ebrahim Raisi: Stratijia ya Iran ni kuwepo umoja baina ya Waislamu
Oct 21, 2021 04:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, stratijia ya Iran ni kuhakikisha kwamba kunakuwepo umoja na mshikamano katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
"Kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu ni hatua ya kistratajia"
Oct 19, 2021 10:09Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran: Mabadilishano ya wafungwa yasihusishwe na mazungumzo ya JCPOA
Oct 19, 2021 09:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inalitazama suala la kubadilishana wafungwa kuwa la kibinadamu, na haitaki kuona likifungamanishwa na mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yaitaka OIC ilaani mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Afghanistan
Oct 18, 2021 21:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa lengo la genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) huko Afghanistan ni kuchochea chuki na uadui wa kimadhehebu na ameitaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC ilaani vikali vitendo vya kinyama vya Daesh.
-
Wanafunzi, wanavyuoni wa kidini Iran walaani mauaji ya Waislamu Afghanistan
Oct 18, 2021 00:22Wahadhiri na wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Kidini katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran wamefanya maandamano makubwa ya kulaani ongezeko la mashambulio ya kigaidi yanayolenga misikiti ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan.
-
Azma ya Iran na China ya kutekeleza Mapatano ya Miaka 25
Oct 17, 2021 04:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Watu wa China wamefanya mazungumzo ya simu na kusisitiza kuwa nchi mbili hizi zina azma ya kutekeleza 'Mapatano ya Miaka 25.'
-
Waziri wa zamani wa Uingereza: Kuondolewa vikwazo ni takwa halali kisheria la Iran
Oct 14, 2021 09:35Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Uingereza, amesema kuhusu msimamo wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA ya mjini Vienna, wa kutaka iondolewe vikwazo vyote vya kidhalimu iliyowekewa na Marekani kwamba, kuondolewa vikwazo hivyo ni takwa halali kisheria la Tehran.