Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Waziri wa zamani wa Uingereza: Kuondolewa vikwazo ni takwa halali kisheria la Iran

    Waziri wa zamani wa Uingereza: Kuondolewa vikwazo ni takwa halali kisheria la Iran

    Oct 14, 2021 09:35

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Uingereza, amesema kuhusu msimamo wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA ya mjini Vienna, wa kutaka iondolewe vikwazo vyote vya kidhalimu iliyowekewa na Marekani kwamba, kuondolewa vikwazo hivyo ni takwa halali kisheria la Tehran.

  • Luteka ya Walinzi wa Anga ya Velayat-1400 yaanza nchini Iran

    Luteka ya Walinzi wa Anga ya Velayat-1400 yaanza nchini Iran

    Oct 12, 2021 04:41

    Vikosi vya Anga vya Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran vimeanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la 'Walinzi wa Anga ya Velayat-1400' katika maeneo ya jangwani ya katikati mwa nchi.

  • Sayyid Nasrullah ataka Lebanon iendelee kuagiza mafuta ya Iran

    Sayyid Nasrullah ataka Lebanon iendelee kuagiza mafuta ya Iran

    Oct 12, 2021 04:35

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelitaka Baraza la Mawaziri la nchi hiyo ya Kiarabu liombe kufutiwa vikwazo vya kuagiza mafuta kutoka Iran ili yawasaidia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuimarisha ushirikiano wao

    Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuimarisha ushirikiano wao

    Oct 11, 2021 23:41

    Serikali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimeazimia kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga za kieneo na kimataifa.

  • Iran yatuma ndege nyingine ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan

    Iran yatuma ndege nyingine ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan

    Oct 11, 2021 23:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma ndege nyingine ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan kwa ajili ya kusaidiwa majeruhi na familia za Waislamu waliouliwa shahidi na kikatili wakiwa kwenye Sala ya Ijumaa huko Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan.

  • Meli za kivita za Iran zilisindikiza meli za mafuta za Iran zilizopeleka mafuta Lebanon

    Meli za kivita za Iran zilisindikiza meli za mafuta za Iran zilizopeleka mafuta Lebanon

    Oct 11, 2021 08:28

    Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema manowari za jeshi hilo zimekuwa zikisindikiza meli za mafuta za Iran zinazopeleka mafuta Lebanon.

  • Spoti, Oktoba 11

    Spoti, Oktoba 11

    Oct 11, 2021 04:49

    Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan mfuatiliaji wa masuala ya spoti natumai huna neno. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia....

  • Iran: Hatutaruhusu uwepo wa Israel karibu na mipaka yetu

    Iran: Hatutaruhusu uwepo wa Israel karibu na mipaka yetu

    Oct 11, 2021 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitaruhusu uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mipaka yake.

  • Iran: Tutaendelea kuiunga mkono kambi ya muqawama Lebanon

    Iran: Tutaendelea kuiunga mkono kambi ya muqawama Lebanon

    Oct 10, 2021 04:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuuunga mkono mrengo wa muqawama na mapambano nchini Lebanon, mkabala wa vitisho na chokochoko tarajiwa za utawala wa Kizayuni.

  • Amir-Abdollahian: Iran ipo pamoja na Syria kwa nguvu zake zote

    Amir-Abdollahian: Iran ipo pamoja na Syria kwa nguvu zake zote

    Oct 09, 2021 22:59

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili lipo pamoja na bega kwa bega na Syria na kuitaja nchi hiyo ya Kiarabu kama mshirika wa kistratijia wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS