Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Salamu za rambi rambi za rais wa Iran kufuatia kuuawa shahidi watu wa Afghanistan

    Salamu za rambi rambi za rais wa Iran kufuatia kuuawa shahidi watu wa Afghanistan

    Oct 09, 2021 08:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.

  • Iran yalaani mauaji ya Waislamu msikiti wa Ijumaa Kunduz huko Afganistan

    Iran yalaani mauaji ya Waislamu msikiti wa Ijumaa Kunduz huko Afganistan

    Oct 08, 2021 10:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji ya makumi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika hujuma ya kigaidi iliyolenga ibada ya Swala ya Ijumaa mapema leo katika mji wa Kunduz huko kaskazini mashariki mwa Afghanistan.

  • Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Oct 07, 2021 21:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia taifa la Lebanon linalokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi uliotokana na vikwazo.

  • Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana

    Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana

    Oct 06, 2021 09:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA inapasa iwe na matokeo ya maana na yenye kutekelezeka.

  • Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Iran yatua mjini Kabul, Afghanistan

    Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Iran yatua mjini Kabul, Afghanistan

    Oct 05, 2021 07:17

    Ndege yenye misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wenye shida wa Afghanistan, imetua katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul na misaada hiyo kukabidhiwa viongozi wa serikali ya mpito ya Taliban.

  • Iran: Mazungumzo yetu na Saudia yanaendelea vizuri

    Iran: Mazungumzo yetu na Saudia yanaendelea vizuri

    Oct 05, 2021 04:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia yanaendelea vizuri.

  • Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Oct 04, 2021 22:52

    Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.

  • Ujerumani yakariri msimamo wake wa kiuhasama dhidi ya Iran

    Ujerumani yakariri msimamo wake wa kiuhasama dhidi ya Iran

    Oct 04, 2021 22:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa mara nyingine tena amekariri msimako wa kiuhasama wa Berlin dhidi ya Tehran na mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuashiria hatua ya Marekani ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo, na nchi za Ulaya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo ya kimataifa.

  • Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu

    Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu

    Sep 30, 2021 22:56

    Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limeeleza katika ripoti yake kwamba, sera za mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu; na Tehran haina hofu yoyote kuhusiana na Marekani.

  • Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi

    Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi

    Sep 30, 2021 02:58

    Jarida la kila wiki la Newsweek la nchini Marekani limeandika kuwa, uanachama wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utazidi kuibana Magharibi katika kukabiliana na mradi wa nyuklia wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS