-
Iran: Hakuna dola lolote linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu
Sep 30, 2021 00:17Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran amesisitiza kuwa, hakuna dola lolote duniani linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jumatano Septemba 29 mwaka 2021
Sep 28, 2021 22:55Leo ni Jumatano tarehe 22 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 29 mwaka 2021.
-
Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kuangamiza uwezo wa kinyuklia wa Iran
Sep 27, 2021 22:55Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo haramu hauna uwezo wa kuiua teknolojia ya nyuklia ya Iran.
-
Taliban yasisitiza nia yake ya kustawisha uhusiano na Iran na Russia
Sep 25, 2021 03:50Msemaji wa kundi la Taliban ametaka kustawishwa uhusiano wa pande mbili kati ya kundi hilo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Meli ya pili ya mafuta kutoka Iran kwa ajili ya Lebanon yatia nanga Baniyas
Sep 24, 2021 04:13Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa meli kubwa ya pili ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetia nanga katika bandari ya Baniyas nchini Syria.
-
Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia
Sep 23, 2021 22:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.
-
Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon
Sep 22, 2021 04:02Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa msafara mwingine wa malori yenye shehena ya mafufa kutoka Iran umewasili Lebanon baada ya kuvuka mpaka wa Syria.
-
Eslami: Marekani inapasa kuondoa vikwazo vyote kivitendo dhidi ya Iran
Sep 20, 2021 22:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa wakati umefka kwa Marekani kurekebisha siasa zake ghalati, na katika hatua ya kwanza iondoe kivitendo vikwazo vyote, kwa njia athirifu na kutoa hakikisho.
-
Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon
Sep 20, 2021 06:52Kituo cha ufuatiliaji wa safari za meli za mafuta kimeripoti kuwa, meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon.
-
Khatibzadeh: Kuna udharura wa kuundwa serikali jumuishi nchini Afghanistan
Sep 19, 2021 12:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, kuna udharura wa kuundwa serikali itakayoshirikisha makundi na kaumu zote za Afghanistan.