Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina

    Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina

    Dec 20, 2021 01:16

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi pale mji mtakatifu wa Quds utakapombolewa na kuondoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.

  • Umoja wa Mataifa waipongeza Iran kwa kuwapa huduma wakimbizi

    Umoja wa Mataifa waipongeza Iran kwa kuwapa huduma wakimbizi

    Dec 20, 2021 01:12

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) ameipongeza Iran kwa ukarimu wake mkubwa katika kuwapa huduma wakimbizi hasa wale waliodhulumiwa kutoka nchi jirani ya Afghanistan.

  • Momeni :Iran inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya

    Momeni :Iran inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya

    Dec 19, 2021 04:48

    Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya.

  • Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada

    Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada

    Dec 18, 2021 09:39

    Afisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo lilipitishwa hivi karibuni kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema, azimio hilo ambalo limeungwa mkono na Canada, ni la kisiasa, na halijazingatia uhalisia wa mambo.

  • Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni kiini na chimbuko la matatizo ya Asia Magharibi

    Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni kiini na chimbuko la matatizo ya Asia Magharibi

    Dec 15, 2021 10:27

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala bandia wa Kizayuni wa Israe ni kiini na matatizo ya eneo la Asia magharibi.

  • Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Dec 13, 2021 13:20

    Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.

  • Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora

    Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora

    Dec 12, 2021 04:42

    Naibu Mkuu wa Akademia ya Makombora Russia amesema katika uga wa kijeshi Iran ni miongoni mwa nchi zilizoendelea na katika uundaji wa mifumo ya makombora Iran na ni miongoni mwa nchi nne bora duniani.

  • Ijumaa tarehe 10 Disemba 2021

    Ijumaa tarehe 10 Disemba 2021

    Dec 10, 2021 01:11

    Leo ni Ijumaa tarehe 5 Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa na Disemba 10 mwaka 2021.

  • Iran yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Iran yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Dec 09, 2021 01:11

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Raisi: Uhusiano wa Iran na Uturuki utaingia katika marhala mpya

    Raisi: Uhusiano wa Iran na Uturuki utaingia katika marhala mpya

    Dec 09, 2021 01:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria umuhimu wa uhusiano wa kiuchumi na kibiashara wa Tehran na Ankara na kusema kuwa, kustawi kwa ushirikiano wa pande mbili kutaingia katika hatua mpya karibuni hivi, kwa kufanyika kongamano hapa Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS