Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • New York Post: Biden ni dhaifu, hawezi kukabiliana na Russia, China na Iran

    New York Post: Biden ni dhaifu, hawezi kukabiliana na Russia, China na Iran

    Dec 08, 2021 10:56

    Gazeti la Marekani la New York Post limemtaja rais wa sasa wa nchi hiyo kuwa ni dhaifu na mwenye kutetereka na kwamba hawezi kukabiliana na Russia, China na Iran katika maeneo mbalimbali ya dunia.

  • Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi

    Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi

    Dec 07, 2021 23:26

    Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amekiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi.

  • Shamkhani: Marekani inataka kulifufua kundi la ISIS

    Shamkhani: Marekani inataka kulifufua kundi la ISIS

    Dec 07, 2021 10:43

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Marekani ilighadhabishwa mno na kitendo cha kusambaratika kwa kundi la kigaidi la ISIS katika nchi za Syria na Iraq, na hivi sasa linafanya juu chini kulifufua genge hilo ili kuzusha mgogoro mpya katika eneo.

  • Raisi: Iran inaunga mkono usalama wa nchi za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi

    Raisi: Iran inaunga mkono usalama wa nchi za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi

    Dec 06, 2021 23:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa usalama wa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi unafungamana na kwamba Iran inaunga mkono usalama wa nchi za pambizoni mwa Ghuba ya Uajemi.

  •  Shamkhani: Usalama na uthabiti wa Asia Magharibi utapatikana kwa kuweko ushirikiano wa kikanda

    Shamkhani: Usalama na uthabiti wa Asia Magharibi utapatikana kwa kuweko ushirikiano wa kikanda

    Dec 06, 2021 09:35

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kuweko ushirikiano wa mataifa ya Asia Magharibi ni jambo la dharura na la lazima kwa ajili ya kupatikana amani na usalama wa eneo hili.

  • Araqchi: Marekani inabeba dhima kwa hali ya sasa Afghanistan

    Araqchi: Marekani inabeba dhima kwa hali ya sasa Afghanistan

    Dec 05, 2021 23:46

    Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Marekani ndiyo inayopaswa kulaumiwa na kuwabishwa kutokana na matatizo mengi yanaoikumba Afghanistan.

  • Iran: Hatutalegeza kamba katika kushinikiza kuondolewa vikwazo haramu

    Iran: Hatutalegeza kamba katika kushinikiza kuondolewa vikwazo haramu

    Dec 05, 2021 11:24

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitolegeza kamba katika mazungumzo ya Vienna, Austria na itaendelea kushinikiza kuondolewa vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria vya Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Borell na Abdullahiyan: Anga ya mazungumzo ya Vienna ni chanya

    Borell na Abdullahiyan: Anga ya mazungumzo ya Vienna ni chanya

    Dec 03, 2021 23:08

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran wamewasiliana kwa njia ya simu na kuyatathmini mazungumzo ya kuondoa vikwazo yanayoendelea mjini Vienna, Austria kuwa ni chanya.

  • Iran na Syria kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara

    Iran na Syria kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara

    Dec 03, 2021 07:19

    Waziri wa Uchumi wa Syria amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina nia ya kweli ya kuimarisha zaidi na zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara.

  • "Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama"

    Dec 03, 2021 00:54

    Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS