-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kurejea katika umaanawi na maadili mema
Jun 04, 2021 03:35Ujumbe muhimu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kutoa wito kwa dunia ya sasa irejee katika umaanawi na maadili mema.
-
Qatar: Mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo ni kitu cha udharura
Jun 01, 2021 06:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa Doha iko tayari kuchukua nafasi ya upatanishi baina ya madola makubwa ya eneo hili na kwamba mazungumzo na Iran kwa ajili ya kuleta maelewano katika eneo hili ni kitu cha dharura.
-
Iran kuongeza uzalishaji wa mafuta hadi mapipa milioni 6.5 kwa siku
Jun 01, 2021 03:33Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limeazimia kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mafuta yake.
-
Iran, China na Russia zashauriana kuhusu mazungumzo yajayo ya JCPOA
May 31, 2021 22:22Mwakilishi wa Russsia katika taasisi za kimataifa zenye makao mjini Vienna nchini Austria amesema kuwa jumbe za Iran, China na Russia zimejadiliana huko Vienna kuhusu hatua mazungumzo yajayo ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Tunatumai uhusiano wetu na Ethiopia utaimarika zaidi
May 28, 2021 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai kuwa uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Ethiopia utaboreka na kuimarika zaidi.
-
Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni
May 26, 2021 23:07Maprofesa wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mwito wa kuhitimishwa mara moja jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Umoja wa Ulaya wakaribisha kurefushwa makubaliano ya kiufundi kati ya Iran na IAEA
May 26, 2021 03:59Enrique Mora Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Ulaya Kuhusu Hatua za Kigeni amekaribisha makubaliano ya kiufundi yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA na kuyataja kuwa 'makuabaliano mazuri.' Amesema makubaliano hayo yataandaa uwanja unaofaa kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha mjini Vienna.
-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
-
Ijumaa, 21 Mei, 2021
May 20, 2021 21:43Leo ni Ijumaa tarehe 9 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijiria sawa na Mei 21 mwaka 2021.
-
Maandamano yafanyika Tehran kulaani jinai za utawala wa Israel huko Ghaza
May 19, 2021 22:04Maandamano yamefanyika mjini Tehran kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.