-
Jumapili, tarehe 29 Machi, 2020
Mar 28, 2020 21:50Leo ni Jumapili tarehe 4 Sha'aban, 1441 Hijria, sawa na tarehe 29 Machi 2020 Miladia.
-
Marekani yakataa kuachia fedha za Iran za kuiwezesha kukabiliana na corona
Mar 28, 2020 03:43Marekani imekataa katika mazingira haya tete ya janga la corona kuachia mali na fedha za Iran zitakazoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kukabiliana na kirusi hicho angamizi.
-
Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 28, 2020 01:47Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.
-
Zaidi ya watu 11 elfu wapata nafuu baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran
Mar 27, 2020 09:05Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi leo Ijumaa mchana, watu 11 elfu na 133 walikuwa wameshapata nafuu na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini hapa nchini baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19.
-
Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Mar 27, 2020 05:25Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.
-
IRGC: Iran inaweza kuisaidia Marekani kupambana na corona, lakini haihitaji msaada wao
Mar 27, 2020 03:45Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mfumo wa afya hapa nchini ni madhubuti na kwamba Iran inaweza kuisaidia Marekani kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona, lakini taifa hili halihitaji msaada wowote kutoka kwa watawala wa Washington.
-
Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona
Mar 27, 2020 03:28Katika radiamali yake dhidi ya msimamo wa hivi karibuni wa Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani juu ya kuendelea mashinikizo ya juu zaidi ya Washington dhidi ya Tehran, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja waziri huyo wa Marekani kuwa 'waziri wa chuki'.
-
Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada
Mar 26, 2020 22:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.
-
Ijumaa, Machi 27, 2020
Mar 26, 2020 22:03Leo ni Ijumaa tarehe Pili Shaaban mwaka 1441 Hijria sawa na Machi 27 Mwaka 2020.
-
Rouhani atangaza mikakati mipya ya kukabili corona Iran, waliopona ni zaidi ya 10,000
Mar 26, 2020 07:35Rais Hassan Rouhani wa Iran ametangaza mipango na mikakati mipya ya kudhibiti maambukizi ya kirusi cha corona hapa nchini ndani ya wiki mbili zijazo.