-
Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar
Sep 12, 2025 00:18Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao hadi mwisho.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza umoja dhidi ya uvamizi wa Israel
Sep 11, 2025 03:53Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Doha yanadhihirisha kutozingatiwa kanuni na mifumo ya kimataifa.
-
Araqchi: IAEA ‘imeridhishwa kikamilifu’ na makubaliano ya ushirikiano
Sep 11, 2025 03:51Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umeridhishwa kikamilifu na vipengee vya makubaliano yaliyofikiwa karibuni kati ya wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian: Ugaidi wa kuwalenga viongozi wa Hamas Doha umeanika sura halisi ya Israel
Sep 10, 2025 03:44Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya eneo,' baada ya utawala huo wa Kizayuni kushambulia ardhi ya Qatar na kuwaua shahidi viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Iran na IAEA zaafikiana kurejesha ushirikiano; Araghchi aonya
Sep 10, 2025 03:10Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zimefikia makubaliano yenye lengo la kuandaa njia ya kurejesha ushirikiano kati ya pande hizo mbili.
-
Iran yapongeza mazungumzo 'yenye tija' ya Araghchi na Kallas, yaihimiza EU iachane na mtazamo wa makabiliano
Sep 09, 2025 07:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema, mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas ulikuwa wenye tija, na kubainisha kuwa hoja na rai mbalimbali ziliwasilishwa katika mazungumzo yao.
-
Pezeshkian: Mipaka ya kijiografia kamwe haiwezi kuyatenganisha mataifa mawili ndugu ya Iran na Iraq
Sep 08, 2025 04:06Rais wa Iran ameutaja uhusiano kati ya mataifa mawili na nchi mbili za Iran na Iraq chini ya kivuli cha mifungamano ya kidini na kiutamaduni kuwa mkubwa na wa kihistoria na kusisitiza kuwa mipaka ya kijiografia kamwe haiwezi kutenganisha mataifa haya mawili ndugu.
-
Araghchi: Iran na IAEA zinakaribia kuunda fremu mpya ya ushirikiano
Sep 06, 2025 23:20Iran imesema imekaribia sana kubuni mfumo mpya wa ushirikiano baina yake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), miezi kadhaa baada ya mashambulizi ya anga ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya nchi hii kuipelekea Tehran kusimamisha ushirikiano wake na taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.
-
Jeshi la Majini la Iran lipo Afrika Kusini kujadili luteka ijayo ya BRICS
Sep 06, 2025 08:31Mkutano wa kujadili mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya baharini ya nchi wanachama wa BRICS umefanyika katika mji bandari wa Cape Town nchini Afrika Kusini, kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi sita, ikiwa ni pamoja na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sambamba na kuanza duru mpya ya mazungumzo, Iran yatilia mkazo diplomasia katika kadhia ya nyuklia
Sep 06, 2025 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa liidhinishe juhudi za kidiplomasia katika kushughulikia mpango wa nyuklia wa Tehran na kukomesha vitendo vya "kinyume na sheria" vya Ulaya.