Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Sutafahamu zilizotokea baina yetu na Qatar zimeondolewa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Sutafahamu zilizotokea baina yetu na Qatar zimeondolewa

    Sep 05, 2025 23:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amesema, mazungumzo yake na viongozi wa Qatar yalikuwa yenye faida na mafanikio makubwa na yalifanyika kwa uzito maalumu na akaongezea kwa kusema: "kwa bahati nzuri, hakuna tofauti zozote kati ya nchi hizi mbili, na sutafahamu iliyojitokeza imetatuliwa kikamilifu na ziara hii".

  • Iran yaitaka dunia ilaani mashambulizi dhidi ya vituo vyake vya nyuklia

    Iran yaitaka dunia ilaani mashambulizi dhidi ya vituo vyake vya nyuklia

    Sep 05, 2025 07:32

    Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Iran amesema Marekani na utawala wa Israel zilifanya mashambulizi ya kimakusudi dhidi ya vituo vya nyuklia ya Iran, licha ya vituo hivyo kuwa chini ya usimamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti Nyuklia.

  • Araqchi: IAEA imeafiki haja ya mfumo mpya wa ushirikiano na Iran

    Araqchi: IAEA imeafiki haja ya mfumo mpya wa ushirikiano na Iran

    Sep 04, 2025 22:49

    Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa hakutakuwa na ushirikiano mpya baina ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hadi hapo mazungumzo yatakapokamilika.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Jumuiya ya Shanghai inaweza kuasisi miungano ya usalama yenye ufanisi

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Jumuiya ya Shanghai inaweza kuasisi miungano ya usalama yenye ufanisi

    Sep 04, 2025 10:33

    Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh amesema kuwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) ina uwezo wa kupanua wigo wa shughuli zake na kuanzisha miungano ya usalama yenye ufanisi katika siku zijazo.

  • Araghchi: Iran haiogopi mazungumzo, wala vita

    Araghchi: Iran haiogopi mazungumzo, wala vita

    Sep 04, 2025 04:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu haiogopi kuingia katika mazungumzo mapya kuhusu utatuzi wa masuala yoyote yaliyopo, kama ambavyo haina hofu ya kuingia katika vita vyovyote vipya ambavyo vinaweza kutwishwa nchi hii na maadui zake.

  • Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?

    Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?

    Sep 04, 2025 03:51

    Marekani imeweka vikwazo vipya ili kuzuia uuzaji nje wa mafuta ya Iran.

  • Spika wa Iran: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya Israel Gaza

    Spika wa Iran: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya Israel Gaza

    Sep 03, 2025 03:43

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataka mataifa ya Kiislamu kuungana katika vita dhidi ya utawala wa Kizayuni, ambao ameutaja kuwa shetani mkubwa zaidi duniani.

  • Kamanda Mousavi: Jeshi la Iran liko tayari kutoa jibu chungu kwa uchokozi wowote

    Kamanda Mousavi: Jeshi la Iran liko tayari kutoa jibu chungu kwa uchokozi wowote

    Sep 03, 2025 03:08

    Mkuu wa Majeshi ya Iran, Meja Jenerali Abdolrahim Mousavi amesisitiza kuwa vikosi vya ulinzi vya taifa hili viko imara na tayari kutoa jibu madhubuti na chungu kwa uchokozi wowote mpya wa maadui.

  • IRIB yalaani mauaji ya mwanahabari wa Al-Alam huko Gaza

    IRIB yalaani mauaji ya mwanahabari wa Al-Alam huko Gaza

    Sep 03, 2025 02:57

    Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB kimelaani vikali mauaji ya Rasmi Jihad Salem, mpigapicha wa kanali yake ya Kiarabu ya Al-Alam, ambaye aliuawa shahidi katika shambulio la Israel huko Gaza jana Jumanne, Septemba 2 alipokuwa akirejea kutoka kazini.

  • Tehran yakadhibisha madai ya nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vya Iran na kisima cha gesi cha Arash

    Tehran yakadhibisha madai ya nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vya Iran na kisima cha gesi cha Arash

    Sep 02, 2025 23:05

    Iran imesisitiza mamlaka iliyonayo kwa visiwa vitatu vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi, haki yake kwa kisima cha gesi cha Arash na kuhusu mpango wake wa nyuklia wenye malengo ya amani katika kujibu madai ya uongo katika taarifa ya hivi karibuni ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS