Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Pezeshkian: Iran inalenga kuimarisha uhusiano na Oman

    Rais Pezeshkian: Iran inalenga kuimarisha uhusiano na Oman

    Nov 19, 2025 03:29

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu uhusiano imara kati ya Iran na Oman, na kueleza kuwa Tehran ina imani kwamba uhusiano wa pande mbili utaendelea kukua kwa "nguvu na uthabiti.

  • Iran yapendekeza mfumo wa malipo wa kidijitali katika Jumuiya ya Shanghai

    Iran yapendekeza mfumo wa malipo wa kidijitali katika Jumuiya ya Shanghai

    Nov 18, 2025 22:54

    Mohammad Reza Aref Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amependekeza kuanzisha mfumo wa pamoja wa malipo ya kidijitali ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi 10 wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).

  • Vipi mauzo ya Iran kwa Afrika yamevunja rekodi katika nusu ya kwanza ya mwaka 1404 Hijria Shamsia?

    Vipi mauzo ya Iran kwa Afrika yamevunja rekodi katika nusu ya kwanza ya mwaka 1404 Hijria Shamsia?

    Nov 18, 2025 08:37

    Mauzo ya bidhaa za Iran barani Afrika yaliongezeka maradufu katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu (1404 Hijria Shamsia), na kufikia dola milioni 675.

  • Iran yatoa mkono wa pole kwa India kufuatia kuaga dunia ajalini mahujaji wa nchi hiyo huko Saudi Arabia

    Iran yatoa mkono wa pole kwa India kufuatia kuaga dunia ajalini mahujaji wa nchi hiyo huko Saudi Arabia

    Nov 18, 2025 07:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mahujaji wa ibada ya Umrah wa India waliofariki dunia katika ajali ya basi nchini Saudi Arabia.

  • Iran: Lazima IAEA idumishe uadilifu wa kiufundi na kutoegemea upande wowote kisiasa

    Iran: Lazima IAEA idumishe uadilifu wa kiufundi na kutoegemea upande wowote kisiasa

    Nov 17, 2025 23:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lazima utimize maagizo uliyokabidhiwa ya kiufundi, ujiepushe na mielekeo ya kisiasa, na kukataa mashinikizo yanayotolewa na Marekani na washirika wake wa Ulaya.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Jibu kali zaidi linasubiri uvamizi wowote utakaokaririwa dhidi ya nchi hii

    Msemaji wa serikali ya Iran: Jibu kali zaidi linasubiri uvamizi wowote utakaokaririwa dhidi ya nchi hii

    Nov 15, 2025 23:25

    Msemaji wa serikali ya Iran ameeleza kuwa Iran itatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu kubwa" ikilinganishwa na wakati uliopita ikiwa itakabiliwa na na uchokozi mpya wa nchi ajinabi.

  • Jumapili, 16 Novemba, 2025

    Jumapili, 16 Novemba, 2025

    Nov 15, 2025 22:53

    Leo ni Jumapili 25 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2025.

  • Iran na Uturuki zatilia mkazo kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani na uthabiti katika eneo

    Iran na Uturuki zatilia mkazo kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani na uthabiti katika eneo

    Nov 14, 2025 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyidd Abbas Araqchi, amefanya mazunguzmo kwa njia ya simu na mwenzake wa Uturuki Hakan Fidan, ambapo wawili hao wamejadili uhusiano wa pande mbili na matukio ya kikanda na kimataifa.

  • Iran yapinga na kuyatoa maanani madai ya kundi la G7 dhidi yake

    Iran yapinga na kuyatoa maanani madai ya kundi la G7 dhidi yake

    Nov 13, 2025 23:52

    Esmail Baghaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai yaliyomo kwenye taarifa iliyotolewa mwishoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazounda G7 uliofanyika nchini Canada kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayana msingi wala nadhari na hayakubaliki.

  • Larijani: Hakuna ujumbe mpya uliotumwa Marekani

    Larijani: Hakuna ujumbe mpya uliotumwa Marekani

    Nov 12, 2025 04:08

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amepuuzilia mbali ripoti kwamba kumekuwepo mawasiliano mapya kati ya Tehran na Washington na kusisitiza kuwa hakuna ujumbe mpya uliowasilishwa kwa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS