-
Mjumbe wa Marekani akiri: Washington ilijaribu na kushindwa mara mbili kuipindua serikali ya Iran
Dec 07, 2025 11:00Tom Barrack Mjumbe Maalumu wa Marekani nchini Syria amesema kuwa Washington ilijaribu mara mbili kupindua serikali ya Iran lakini iliambulia patupu.
-
Je, hatua ya Iran na Uturuki kuelekea ustawi wa eneo inaashiria kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano?
Dec 05, 2025 11:48Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimeazimia kwa dhati kuchukua hatua kuelekea maendeleo na ustawi wa kikanda.
-
Spika wa Bunge: Iran iko wazi kwa diplomasia lakini usalama wa taifa na nguvu ya ulinzi haviwezi kujadiliwa
Dec 05, 2025 02:58Spika wa Bunge la Iran, Mohammad-Baqer Qalibaf amesema ingawa Iran iko wazi kwa diplomasia, lakini haitalegeza kamba katika suala la usalama wa taifa na nguvu zake za ulinzi.
-
Kamanda wa IRGC: Usalama wa Ghuba ya Uajemi ni 'mstari mwekundu'
Dec 04, 2025 07:47Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kali kwa Marekani na washirika wake kuhusu Ghuba ya Uajemi na Mlango-Bahari wa Hormoz, akisema usalama wa njia hiyo ya maji ni "mstari mwekundu" wa Iran na misheni kuu ya IRGC.
-
Araghchi: Ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo
Dec 02, 2025 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, ni Marekani ndiyo inayopaswa kurudi kwenye diplomasia kwa kuifanya Iran iwe na imani nayo.
-
Katika mazungumzo na Fidan, Rais wa Iran aziasa nchi za Kiislamu zisahilishe badala ya kutatiza mambo
Dec 01, 2025 06:31Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hali hasasi na nyeti iliyopo hivi sasa katika Ulimwengu wa Kiislamu na kueleza kwamba: "wakati maadui wa pamoja wa mataifa ya Kiislamu wanatafuta njia za kuzidisha mashinikizo, ingetarajiwa nchi za Kiislamu zirahisishiane hali na mazingira na kujiepusha na utatizaji wa mambo".
-
Qalibaf: Hatua ya Australia dhidi ya Iran haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC
Nov 30, 2025 12:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amelaani vikali hatua ya serikali ya Australia ya kuliweka katika orodha nyeusi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akibainisha kuwa hatua hiyo haitaweza kuzuia ushawishi wa IRGC.
-
Biashara ya nje ya Iran yapindukia dola bilioni 76.5 kuanzia Machi hadi Novemba
Nov 30, 2025 12:15Biashara ya nje ya Iran katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu kwa mujibu wa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia yaani (Kuanzia Machi 21, 2025 hadi Novemba 21 mwaka huu) imefikia tani milioni 131.054, yenye thamani ya dola bilioni 76.537.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Mshikamano, Iran yasema: Palestina ni jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu
Nov 30, 2025 03:19Kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Watu wa Palestina, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitizia tena uungaji mkono usioyumba wa Jamhuri ya Kiislamu kwa wananchi madhulumu wa Palestina, ikiielezea hali yao kama "jeraha kubwa zaidi linaloungulisha dhamiri ya wanadamu."
-
Mkuu wa Jeshi: Iran iko tayari kutoa jibu kali kwa vitisho vya popote pale
Nov 29, 2025 13:13Kamanda Mkuu wa Jeshi amesema, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeshajiweka tayari kikamilifu kutoa jibu kali kwa tishio lolote dhidi ya maslahi yake ya taifa, na kusisitiza kwamba mkakati wa ulinzi wa Iran umejengwa juu ya msingi wa kuzuia hujuma.