-
Qalibaf ajibu madai ya Trump na Waziri wa Fedha wa US
Apr 30, 2026 10:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amejibu madai ya Rais wa Marekani na majigambo ya Waziri wa Fedha wa utawala huo wa kigaidi kupitia ujumbe uliotumwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X.
-
Iran yaitaka ICRC kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za binadamu katika vita vya siku 40
Apr 30, 2026 08:12Mkuu wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS), katika kikao na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kuiunga mkono Jumuiya ya Hilali Nyekundu na wananchi wa Iran katika kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za kibinadamu uliofanyika katika vita vya siku 40 vya Marekani na Israel dhidi ya nchi hii.
-
Afisa wa Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi ukombozi kamili wa ardhi ya Lebanon
Apr 30, 2026 07:42Makamu wa Mwenyekiti wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza msimamo wa msingi wa harakati hiyo kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa Muqawama na mapambano yataendelea hadi ardhi yote ya nchi hiyo itakapokombolewa kikamilifu.
-
Kukiri Washirika wa Marekani Kwamba Nchi Hiyo Imeshindwa Katika Vita Dhidi ya Iran
Apr 30, 2026 04:31Baada ya kupita takribani miezi miwili tangu Marekani na utawala wa kizayuni zilipoanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, wakosoaji wa sera za kushupalia vita za Trump katika kila pembe ya dunia wanaendelea kukiri na kutamka kwa uwazi zaidi kwamba Marekani imeshindwa katika vita hivyo.
-
Wizara ya Ulinzi ya Iran: Marekani haiwezi tena kulazimisha sera zake kwa mataifa huru
Apr 29, 2026 09:02Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Marekani haina tena uwezo wa kulazimisha sera zake kwa mataifa huru, akiongeza kuwa hali hiyo sasa imejidhihirisha wazi duniani kupitia ustahimilivu wa wananchi wa Iran pamoja na vikosi vyake vya ulinzi.
-
Je, Marekani Inao Utayari wa Kuachana na Sera na Ndoto Yake ya Kuipigisha Magoti Iran?
Apr 29, 2026 03:38Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani katika serikali ya Joe Biden, ametoa taswira wadhiha na ya wazi ya sifa maalumu za mwenendo wa Iran katika mazungumzo ambayo inaweza kuwa ramani ya njia ya kuinasua serikali ya Marekani kwenye mkwamo ilionasa ndani yake hivi sasa. Sullivan ametoa taswira hiyo katika mahojiano na jarida la Foreign Affairs.
-
New York Times: Trump ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani; Amekwama katika kinamasi cha Iran
Apr 28, 2026 09:37Gazeti la Kimarekani la New York Times limemtaja Donald Trump kuwa ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani.
-
Duru za Magharibi: Iran imeanza "uhandisi kinyume wa bunker-buster" na silaha za kisasa za Marekani
Apr 27, 2026 12:54Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini (IRGC) limetangaza kuwa limegundua makombora 15 ya Marekani ambayo hayakulipuka katika jimbo la Hormozgan kusini mwa Iran, na maelfu ya mabomu katika jimbo la kaskazini la Zanjan, chini ya mwezi mmoja baada ya uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran kusitishwa.
-
Sultan wa Oman akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Apr 26, 2026 11:29Sultan wa Oman Haitham bin Tariq amemkaribisha Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika Kasri la Al-Barakah mjini Muscat, mapema Jumapili.
-
Iran yamkamata jasusi mkongwe wa Mossad na magaidi katika operesheni za kitaifa
Apr 26, 2026 11:19Wizara ya Usalama wa Taifa Iran imetangaza kukamatwa kwa jasusi “mzoefu” aliyekuwa akifanya kazi kwa niaba ya utawala wa Kizayuni wa Israel, pamoja na wanachama 15 wa makundi ya kigaidi ya makundi ya wanaotaka kujitenga, kufuatia operesheni zilizofanyika katika mikoa mbalimbali nchini