Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Iran yaitumia salamu za rambi rambi serikali ya Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi

    Iran yaitumia salamu za rambi rambi serikali ya Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi

    Dec 26, 2022 00:50

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pole na rambi rambi kwa serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi ambao umesababisha vifo vya watu kadhaa.

  • Iran na Guinea kupanua ushirikiano wao katika kilimo

    Iran na Guinea kupanua ushirikiano wao katika kilimo

    Dec 24, 2022 02:44

    ​​​​​​​Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Guinea zimeazimia kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili katika sekta ya kilimio ikiwa ni katika mkakati wa Iran wa kuendelea kuboresha zaidi ushirikiano na nchi za Afrika.

  • Iran yapongeza misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina

    Iran yapongeza misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina

    Nov 25, 2022 06:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesifu misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kusisitizia malengo ya pamoja ya Tehran na Windhoek.

  • Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Nov 17, 2022 04:14

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamesisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.

  • Mabaharia 16 Wairani waachiliwa huru Tanzania

    Mabaharia 16 Wairani waachiliwa huru Tanzania

    Nov 13, 2022 01:16

    Mabaharia 16 Wairani waliokuwa wanashikiliwa nchini Tanzania wameachiliwa huru hivi karibuni. Hayo yamedokezwa na Mkuu wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran katika Eneo la Biashara Huria la Chabahar katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini-mashariki mwa Iran ambaye amesema mabaharia hao walioachiliwa huru ni wenyeji wa mkoa wa Sistan na Baluchestan.

  • Uhusiano wa Zanzibar na Iran unazidi kuimarika + SAUTI

    Uhusiano wa Zanzibar na Iran unazidi kuimarika + SAUTI

    Oct 20, 2022 13:08

    Meya wa jiji la Zanzibar ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Dar es Salaam Tanzania na pande mbili zimehimiza mno kuendelezwa uhusiano wa damu na wa jadi baina yao. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar

  • Kumbukumbu za kuuawa shahidi Imam Ridha AS zafanyika nchini Mauritius

    Kumbukumbu za kuuawa shahidi Imam Ridha AS zafanyika nchini Mauritius

    Sep 27, 2022 07:22

    Programu maalumu ya kukumbuka siku alipouawa shahidi Imam Ridha AS zimefanyika nchini Mauritius na kuhudhuriwa na masheikh wawili kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa uratibu wa ubalozi wa Iran nchini Madagascar na Kitengo cha Kimataifa cha Haram ya Imam Ridha AS.

  • "Magharibi inafanya njama za kufuta matukufu ya Kiislamu na kupandikiza upotofu wake"

    Sep 27, 2022 07:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amendelea na harakati zake za kidiplomasia pembeni mwa kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kuonana na kufanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje kuanzia wa mashariki hadi magharibi mwa Asia na kutoka Amerika ya Latini hadi Ulaya na Afrika.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

    Sep 25, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.

  • Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yasikitishwa na machafuko mapya ya Libya

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yasikitishwa na machafuko mapya ya Libya

    Aug 28, 2022 06:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran ameelezea kusikitishwa sana na machafuko mapya ya nchini Libya na ametaka kukomeshwa mara moja mapigano hayo. Amesema, Tehran inazitaka pande hasimu kuzingatia maslahi ya taifa, usalama wa wananchi na kutatua mambo yao kwa njia ya mazungumzo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS