-
Trump aamua kutozungumzia hali ya afya ya Hillary Clinton
Sep 12, 2016 11:32Mgombea uraia kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, amenyamanzia kimya kuzungumzia hali ya afya ya mshindani wake wa chama cha Democrat, Hillary Clinton.
-
Salehi: Tani 32 za maji mazito zitasafirishwa kupelekwa Marekani mnamo wiki zijazo
Jun 05, 2016 10:56Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO), Ali Akbar Salehi, amesema shehena ya tani 32 za maji mazito inatazamiwa kusafirishwa kupelekwa nchini Marekani katika wiki zijazo.
-
Paul Ryan: Marekani imesalimu amri mbele ya Iran kwa mununua maji mazito ya Arak
Apr 23, 2016 01:47Spika wa Congresi ya Marekani amesema kuwa uamuzi wa nchi yake wa kununua maji mazito ya nyuklia kutoka Iran ni kusalimu amri ambako hakuna mfano mbele ya Iran.
-
Video: Kuingia kwenye maji ya Iran kwawaponza wanajeshi wa Marekani
Feb 06, 2016 08:26Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.