-
Marekani yaondoa madai ya kurejeshwa vikwazo vya UN dhidi ya Iran
Feb 19, 2021 07:51Mwakilishi wa muda wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la umoja huo na kuondoa madai ya serikali iliyotangulia ya nchi hiyo kuhusu kurejejeshwa vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
-
Marekani: Tutakubali wito wa Ulaya wa kushiriki kikao cha 5+1 na Iran
Feb 19, 2021 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Marekani amesema kwamba nchi hiyo itaitikia wito wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kushiriki kikao cha kundi la 5+1 na Iran
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aunga mkono madai ya Marekani dhidi ya Iran
Dec 09, 2020 07:36Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka Iran irejee katika majukumu yake yake ndani ya mapatano ya JCPOA ikiwa ni kuonesha waziwazi kusalimu amri kwake mbele ya siasa za upande mmoja za White House kwani Iran ilichukua hatua za kupunguza ahadi zake ndani ya JCPOA Marekani ya kujitoka katika mapatano hayo ya nyuklia.
-
Madai ya Bolton kuhusu juhudi zinazofanywa na Trump kufikia mapatano na Iran
Nov 19, 2020 12:04Mashauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani, bila ya kuashiria siasa za uadui wa nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amedai kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo anataka kufanya mazungumzo na Iran.
-
Wademokrat wa Seneti ya Marekani wapinga madai ya Trump dhidi ya Iran
Oct 24, 2020 04:20Mwenyekiti wa Wademokrat katika Seneti ya Marekani na vilevile Spika wa Kongresi ya nchi hiyo wamepinga madai yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Tasisi ya Usalama wa Taifa kwamba Iran inaingilia uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Iran: Leo ni siku muhimu kwa walimwengu baada ya kufikia tamati vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran
Oct 18, 2020 08:20Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa siku ya leo ya tarehe 18 Oktoba ya kufikia tamati muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya taifa hili na kueleza kwamba, hii ni siku muhimu kwa jamii ya kimataifa.
-
Amir-Abdollahian: Kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio la Ainul-Asad
Oct 17, 2020 04:31Katibu wa Kamati ya Palestina ya Mkutano wa Kimataifa ya Mujahidina walio kwenye upweke amesema, Marekani inajua kwamba kisasi cha damu ya Kamanda Qassem Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio ililofanya Iran dhidi ya kambi ya Ainul-Asad.
-
Iran kuanza tena kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha ifikapo Oktoba 18
Oct 17, 2020 04:30Msemaji wa ujumbe wa uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, kuanzia Jumapili ya kesho ya tarehe 18 Oktoba, sambamba na kumalizika muhula wa vizuizi ilivyowekewa, Iran itaanza kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha.
-
Marekani yavunjwa moyo baada ya nchi za Ulaya kuipa kisogo katika vikwazo dhidi ya Iran
Sep 22, 2020 07:50Mjumbe Maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran amesema kuwa amepoteza matumaini ya kushirikiana na nchi za Ulaya kukabiliana na Iran.
-
Pompeo adai Marekani itazuia biashara ya silaha kati ya China na Iran
Sep 02, 2020 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kuwa, nchi yake itazuia miamala ya mauzo ya silaha kati ya Iran na China.