Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Mbali na Uturuki kuivamia Syria, Erdoğan atishia tena kuishambulia Iraq

    Mbali na Uturuki kuivamia Syria, Erdoğan atishia tena kuishambulia Iraq

    Mar 20, 2018 04:08

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kwamba, ikiwa serikali ya Iraq haitoshirikiana na nchi yake, basi Ankara itaanzisha mashambulizi katika miji ya Sinjar nchini Iraq dhidi ya wanachama wa kundi la Kikurdi la PKK.

  • Al Abadi: Ugaidi umemalizika kijeshi Iraq, sasa ni vita vya kifikra

    Al Abadi: Ugaidi umemalizika kijeshi Iraq, sasa ni vita vya kifikra

    Mar 10, 2018 11:53

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwa mtazamo wa kijeshi, ugaidi umeshindwa na kumalizika nchini Iraq na sasa hatua inayofuata ni kukabiliana na fikra za kigaidi.

  • Kamanda wa Hashdu ash-Sha'abi: Lau kama si Iran magaidi wangekuwa wameenea eneo lote

    Kamanda wa Hashdu ash-Sha'abi: Lau kama si Iran magaidi wangekuwa wameenea eneo lote

    Mar 05, 2018 04:49

    Naibu kamanda wa harakati ya wananchi ya Hashdu ash-Sha'abi kaskazini mwa Iraq, amesema kuwa nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na ugaidi ni athirifu sana na kwamba lau kama si Iran basi ugaidi ungekuwa umeenea eneo lote la Mashariki ya Kati.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Fatwa ya kihistoria ya Ayatullah Sistani ndiyo siri ya ushindi dhidi ya Daesh

    Waziri Mkuu wa Iraq: Fatwa ya kihistoria ya Ayatullah Sistani ndiyo siri ya ushindi dhidi ya Daesh

    Mar 03, 2018 23:09

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, fatwa ya kihistoria na ya mahala pake iliyotolewa na Ayatullah Sistani, marja'a mkubwa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq wakati nchi hiyo ilipokuwa katika hatari ya kumezwa kikamilifu na magaidi, ilikuwa na umuhimu mkubwa.

  • Iraq: Katu hatutoruhusu kuweko vituo vya kijeshi vya Marekani nchini mwetu

    Iraq: Katu hatutoruhusu kuweko vituo vya kijeshi vya Marekani nchini mwetu

    Mar 03, 2018 12:34

    Iraq imesema kuwa kwa vyovyote vile haitairuhusu Marekani kujenga vituo vya kudumu vya kijeshi katika ardhi ya nchi hiyo na kusema kuwa, kuruhusu jambo kama hilo ni kukiuka mamlaka yake ya kujitawala.

  • Onyo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq kwa Marekani

    Onyo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq kwa Marekani

    Mar 03, 2018 03:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa nchi hiyo itaendelea kupinga kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Kupitishwa na Bunge la Iraq mswada wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo

    Kupitishwa na Bunge la Iraq mswada wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo

    Mar 03, 2018 01:10

    Bunge la Iraq limepitisha katika kikao chake cha Alkhamisi ya tarehe Mosi Machi mswada unaoitaka serikali iainishe tarehe ya kuondoka majeshi ya nchi ajinabi katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Iraq yakataa ombi la Riyadh la kuikabidhi mamia ya 'magaidi' wa Saudia

    Iraq yakataa ombi la Riyadh la kuikabidhi mamia ya 'magaidi' wa Saudia

    Feb 25, 2018 23:10

    Iraq imekataa ombi la Riyadh la kuikabidhi zaidi ya raia 400 wa Saudi Arabia waliohukumiwa vifungo mbalimbali baada ya kupatikana na hatia za kufanya vitendo vya ugaidi nchini Iraq.

  • Kuangamizwa DAESH kumetokana na mshikamano wa wananchi wa Syria na Iraq

    Kuangamizwa DAESH kumetokana na mshikamano wa wananchi wa Syria na Iraq

    Feb 20, 2018 04:42

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq amesema mshikamano wa wananchi wa nchi hiyo na wenzao wa Syria ndio uliowezesha kuangamizwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika eneo.

  • Baada ya kufanikiwa ushirikiano wao katika vita dhidi ya ugaidi, sasa Iran na Iraq zatiliana saini mapatano maalumu ya kijeshi

    Baada ya kufanikiwa ushirikiano wao katika vita dhidi ya ugaidi, sasa Iran na Iraq zatiliana saini mapatano maalumu ya kijeshi

    Feb 18, 2018 23:34

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi ya Iraq wamekutana na kutiliana saini mapatano maalumu ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS