-
Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi
Nov 30, 2021 01:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.
-
Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel
Nov 28, 2021 08:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mpango wa Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog wa kuutembelea Mstikiti wa Ibrahim kusini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Poland yapunguza uhusiano wake wa kidiplomasia na Israel
Nov 27, 2021 01:08Poland imepunguza kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel, ikisisitiza kuwa serikali ya Warsaw haina mpango wa kutuma balozi mwingine katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Huduma mpya ya London kwa Tel Aviv kwa kuituhumu Hamas kuwa ni kundi la kigaidi
Nov 21, 2021 06:38Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Mwanadiplomasia: Lengo la Marekani kuasisi makundi ya kigaidi ni kudhamini usalama wa Israel
Nov 20, 2021 08:58Mwanadiplomasia wa zamani wa Iran amesema, lengo la Marekani la kuasisi makundi ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi hasa la DAESH (ISIS) ni kuvuruga uthabiti katika nchi zaWaislamu na kuzidhoofisha nchi zinazoupinga utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kudhamini usalama wa utawala huo.
-
Malengo ya kisiasa ya mazoezi ya kijeshi ya Israel na nchi kadhaa za Kiarabu
Nov 15, 2021 23:00Mazoezi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yameongezeka sana katika siku za karibuni. Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, mazoezi hayo ya kijeshi ni kielelezo cha wasiwasi wa usalama wa Israel na woga wa utawala huo kutokana na kambi ya mapambano na kwamba yanafanyika kwa malengo ya kisiasa.
-
Afrika Kusini 'yamnawa' raia wake atakayeshiriki tamasha la ulimbwende Israel
Nov 15, 2021 08:15Serikali ya Pretoria imejibari na uamuzi wa 'Bi Afrika Kusini' Lalela Mswane wa kukubali mwaliko wa kushiriki Tamasha la Ulimbwende linalotazamiwa kufanyika mwezi ujao huko Israel.
-
Balozi wa Israel akimbilia usalama wake kutoka Chuo cha Uchumi cha London
Nov 11, 2021 05:20Malalamiko na hasira ya wanachuo na waungaji mkono wa taifa la Palestina katika Chuo cha Masuala ya Uchumi cha London imepelekea balozi wa utawala haramu wa Israel nchini Uingereza kukimbilia usalama wake kutoka kwenye chuo hicho.
-
Ngao ya ulinzi wa anga ya Syria yatungua makombora ya Wazayuni
Nov 09, 2021 04:44Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye maeneo ya pwani na katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina
Nov 09, 2021 04:40Shirika moja la kutetea haki za binadamu la Ulaya limefichua kuwa, programu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni ya Pegasus imetumika kuwachunguza na kuwafuatilia wafanyakazi wa asasi za kiraia za Kipalestina, hususan zilizowekwa kwenye eti ya orodha ya ugaidi ya Tel Aviv.