Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Ujumbe wa Israel uliitembelea Sudan baada ya mapinduzi

    Ujumbe wa Israel uliitembelea Sudan baada ya mapinduzi

    Nov 03, 2021 04:13

    Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jihad Islami yatishia kuingia katika vita vya moja kwa moja na Israel

    Jihad Islami yatishia kuingia katika vita vya moja kwa moja na Israel

    Nov 03, 2021 00:03

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa itaanzisha vita silaha vya moja kwa moja dhidi ya utawala haramu wa Israel, iwapo utawala huo utaendelea kuwanyanyasa na kuwakandamiza wafungwa wa Kipalestina.

  • Hamaki za Israel hata kwa “ripoti isiyo na dhamana” ya Baraza la Haki za Binadamu la Umioja wa Mataifa

    Hamaki za Israel hata kwa “ripoti isiyo na dhamana” ya Baraza la Haki za Binadamu la Umioja wa Mataifa

    Nov 02, 2021 22:58

    Kitendo cha mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Gilad Erdan cha kurarua na kuchanachana kwa hasira ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo kuhusu jinai za utawala huo huko Palestina kimeonyesha wazi kwamba, utawala huo hauwezi kuvumilia hata ripoti ambazo kimsingi “hazina dhama ya utekelezwaji wake”.

  • Saudia katika njia ya kuimarisha uhusiano wake na utawala dhalimu wa Israel

    Saudia katika njia ya kuimarisha uhusiano wake na utawala dhalimu wa Israel

    Oct 29, 2021 23:14

    Gazeti la Kizayuni la Globes linalochapishwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mbavu - ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel - limeandika kuwa, kumefikiwa makubaliano mengi baina ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia kwa mashinikizo ya nchi mbili za Kiarabu za Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Ravanchi:Baraza la Usalama liilazimishe Israel ihitimishe kuikalia kwa mabavu Golan

    Ravanchi:Baraza la Usalama liilazimishe Israel ihitimishe kuikalia kwa mabavu Golan

    Oct 28, 2021 11:15

    Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa Baraza la Usalama la umoja huo linalazimiika kutekeleze wajibu wake na kuulazimisha utawala wa Kizayuni wa Israel uache kuikalia kwa mabavu miinuko ya Golan na uvamizi dhidi ya Syria.

  • Wanawake 33 wa Kipalestina wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha Israel

    Wanawake 33 wa Kipalestina wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha Israel

    Oct 26, 2021 04:30

    Shirika moja huru la kutetea haki za binadamu limesema makumi ya wanawake wa Palestina wanashikiliwa katika mazingira ya kuogofya na yasiyo ya kibinadamu na vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika gereza la Damon.

  • Ndege ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Saudia kutua Israel

    Ndege ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Saudia kutua Israel

    Oct 25, 2021 07:47

    Kwa mara ya kwanza, ndege ya moja kwa moja kutoka Saudi Arabia inatazamiwa kutua usiku huu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mufti wa Comoro: Uvumi kuhusu kuanzishwa uhusiano na Israel hauna msingi

    Mufti wa Comoro: Uvumi kuhusu kuanzishwa uhusiano na Israel hauna msingi

    Oct 22, 2021 06:34

    Abubakr Abdallah Jamal al-Lail, Mufti wa visiwa vya Comoro amesema madai kuwa nchi hiyo ina nia ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel hayana msingi wowote.

  • HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU

    HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU

    Oct 18, 2021 00:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).

  • HAMAS yakosoa hatua ya Saudia ya kuusifu utawala haramu wa Israel

    HAMAS yakosoa hatua ya Saudia ya kuusifu utawala haramu wa Israel

    Oct 17, 2021 08:56

    Moussa Abu Marzouk, mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa vikali matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, hakuna wakati wowote ule ambao Israel ilikuwa sababu ya amani na uthabiti Asia Magharibi na wala hakuna wakati itakuwa hivyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS