Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wabahrain waendeleza maandamano ya kupinga uhusiano na Israel

    Wabahrain waendeleza maandamano ya kupinga uhusiano na Israel

    Oct 15, 2021 00:49

    Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • OIC yalaani hatua ya Israel kubomoa makuburi ya Wapalestina Quds

    OIC yalaani hatua ya Israel kubomoa makuburi ya Wapalestina Quds

    Oct 13, 2021 09:26

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kubomoa makaburi ya Waislamu katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Iran: Hatutaruhusu uwepo wa Israel karibu na mipaka yetu

    Iran: Hatutaruhusu uwepo wa Israel karibu na mipaka yetu

    Oct 11, 2021 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitaruhusu uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mipaka yake.

  • Jeshi la Syria latungua makombora ya utawala haramu wa Israeli

    Jeshi la Syria latungua makombora ya utawala haramu wa Israeli

    Oct 10, 2021 04:17

    Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mkoa wa Homs, katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Abbas akutana na mawaziri wa Israel usiku wa manane Ramallah

    Abbas akutana na mawaziri wa Israel usiku wa manane Ramallah

    Oct 04, 2021 08:07

    Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekutana na kufanya mazungumzo na mawaziri wawili wa utawala haramu wa Israel mjini Ramallah, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Oct 01, 2021 09:59

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.

  • Khatibzadeh: Kuikaribisha Israel eneo la Ghuba ya Uajemi kunavuruga amani

    Khatibzadeh: Kuikaribisha Israel eneo la Ghuba ya Uajemi kunavuruga amani

    Oct 01, 2021 04:15

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, aina yoyote ya kuandaa mazingira ya kuwepo Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi inatazidisha machafuko na mivutano katika eneo hilo na kunapaswa kulaaniwa.

  • Kukiri Israel udhaifu wa

    Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

    Sep 30, 2021 09:12

    Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina.

  • Leba yawa chama cha kwanza Ulaya kuitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa Apathaidi

    Leba yawa chama cha kwanza Ulaya kuitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa Apathaidi

    Sep 27, 2021 13:19

    Mkutano mkuu wa chama cha Leba nchini Uingereza umepigia kura na kupitisha hoja ya kuitambua Israel kuwa ni utawala unaotenda jinai ya ubaguzi wa Apathaidi, na kukifanya kuwa chama cha kwanza kikubwa cha siasa barani Ulaya kuchukua msimamo huo dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni.

  • Sudan: Hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wetu na Israel

    Sudan: Hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wetu na Israel

    Sep 27, 2021 09:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema kuwa, miezi 11 imepita tangu nchi yake itangaze kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel lakini hakuna ishara zozote za kuboreka uhusiano wa pande mbili kama ambavyo hakuna pia mazungumzo yoyote rasmi baina yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS