-
Mwana wa muasisi wa Israel autabiria maangamizi utawala wa Kizayuni
Sep 24, 2021 23:05Mwana wa mwasisi wa Israel ambaye baba yake ndiye aliyetia saini tangazo la kuanzishwa dola hilo pandikizi mwaka 1948 na ambaye hivi sasa ni mpinzani mkubwa wa utawala wa Kizayuni anayepitisha siku za mwisho za umri wake, ameutabiria maafa utawala huo dhalimu unaokikalia kwa mabavu Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Kongresi kuzuia mauzo ya silaha kwa tawala za Saudi Arabia na Israel
Sep 20, 2021 03:31Mbunge wa Kongresi ya Marekani amebuni muswada unaopiga marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa tawala za Saudi Arabia na Israel.
-
Rais wa Israel na Mfalme wa Jordan wafanya mkutano wa siri
Sep 05, 2021 22:33Rais wa utawala haramu wa Israel, Isaac Herzog amefichua kuwa alikutana na kufanya mazungumzo na Mfalme Abdullah II wa Jordan, mkutano wa siri uliofanyika wakati huu ambapo uhusiano wa Amman na Tel Aviv unazidi kuimarika.
-
Jihad Islami: Machaguo mengi yatakuwa meza dhidi ya Israel iwapo mzingiro wa Gaza hautaondolewa
Sep 04, 2021 22:46Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetishia kuwa, machaguo mengi yatakuwa mezani dhidi ya utawala ghasibu wa Israel iwapo utawala huo hautaondoa mzingiro wa pande zote dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Jeshi la Syria limetungua makombora 21 kati ya 24 ya Israeli
Sep 04, 2021 22:10Jeshi la Russia linasema makombora ya ulinzi wa anga ya Jeshi la Syria yametungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus hivi karibuni.
-
Wananchi wa Bahrain walaani kutumwa balozi wa Aal-Khalifa huko Israel
Sep 04, 2021 05:53Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, sanjari na pande mbili hizo kubadilishana mabalozi.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Kipalestina kwa kumpiga risasi
Aug 31, 2021 22:53Askari wa utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi kijana wa Palestina kwa kumpiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz
Aug 30, 2021 06:52Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.
-
Unicef: Israel imeua watoto 9 wa Kipalestina katika miezi miwili ya karibuni
Aug 28, 2021 03:39Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeua watoto 9 wa Kipalestina katika kipindi cha miezi miwili pekee na kujeruhi wengine 556.
-
Marekani yaachana na mpango wa kununua 'Ngao ya Chuma' ya Israel
Aug 27, 2021 03:22Jeshi la Marekani limeachana na mpango wake wa kununua mifumo mingine ya ngao ya makombora ya utawala haramu wa Israel, baada ya kuufanyia majaribio mfumo wa kutungua maroketi na makombora ya mafasa mafupi kutoka Tel Aviv mwanzoni mwa msimu huu wa joto kali; na kupata matokeo yasiyoridhisha.