Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Mkuu wa zamani wa haki za binadamu wa UN kuongoza uchunguzi wa jinai za Israel

    Mkuu wa zamani wa haki za binadamu wa UN kuongoza uchunguzi wa jinai za Israel

    Jul 23, 2021 03:22

    Baraza la Haki za Binadamu limemteua Navi Pillay, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kuongoza kamati ya kimataifa ya watu watatu ya kuchunguza jinai za kivita za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Israel yawatia mbaroni wanachama zaidi ya 120 wa Hamas katika Ukingo wa Magharibi

    Israel yawatia mbaroni wanachama zaidi ya 120 wa Hamas katika Ukingo wa Magharibi

    Jul 22, 2021 22:03

    Televisheni moja ya Kizayuni inayotangaza kwa lugha ya Kiibrania imetangaza kuwa Israel miezi miwili iliyopita iliwatia mbaroni wanachama zaidi ya 122 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.

  • Snowden: Si ajabu kwamba programu ya kijasusi ya Israel imetumiwa kudukua simu ya Joe Biden

    Snowden: Si ajabu kwamba programu ya kijasusi ya Israel imetumiwa kudukua simu ya Joe Biden

    Jul 22, 2021 03:11

    Mfichuaji maarufu wa kashfa mbalimbali za ujasusi wa Marekani amesema kuwa, si ajabu kusikia kwamba, programu ya ujasusi ya kampuni ya Israel imetumiwa kudukua simu ya mkononi ya Rais Joe Biden.

  • Umoja wa Ulaya: Kashfa ya ujasusi unaofanywa na Israel haikubaliki kabisa

    Umoja wa Ulaya: Kashfa ya ujasusi unaofanywa na Israel haikubaliki kabisa

    Jul 19, 2021 21:51

    Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa, kashfa ya hivi karibuni ya ujasusi uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel inakinzana na sheria zote za Umoja wa Ulaya.

  • Licha ya kauli kali zitolewazo dhidi ya Wazayuni, marais wa Uturuki na Israel wataka kustawishwa uhusiano

    Licha ya kauli kali zitolewazo dhidi ya Wazayuni, marais wa Uturuki na Israel wataka kustawishwa uhusiano

    Jul 15, 2021 03:42

    Chama tawala nchini Uturuki cha Uadilifu na Maendeleo AKP kimesema, Uturuki na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimekubaliana kuchukua hatua ili kustawisha uhusiano wao wenye mivutano kufuatia mazungumzo yaliyofanywa kwa njia ya simu kati ya marais wa pande hizo mbili.

  • Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel

    Jihad al Islami: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel

    Jul 12, 2021 22:06

    Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amewapongeza wanamapambano wa Palestina wanaojihami kwa silaha mbele ya jinai za Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusema kuwa, hiyo ndiyo njia pekee ya kupambana na Israel.

  • Matunda ya kuonyesha muqawama; kuachiwa huru mateka Mpalestina baada ya kususia kula kwa siku 65

    Matunda ya kuonyesha muqawama; kuachiwa huru mateka Mpalestina baada ya kususia kula kwa siku 65

    Jul 09, 2021 21:58

    Mateka Mpalestina, aliyesusia kula kwa muda wa siku 65 akilalamikia kurefushwa hukumu haramu ya kuwekwa kizuizini kiidara iliyotolewa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel dhidi yake, hatimaye ameachiliwa huru.

  • Zaidi ya wasomi, wanafikra 600 wa kimataifa wataka kuvunjwa utawala wa kibaguzi katika Palestina ya kihistoria

    Zaidi ya wasomi, wanafikra 600 wa kimataifa wataka kuvunjwa utawala wa kibaguzi katika Palestina ya kihistoria

    Jul 07, 2021 23:49

    Idadi kubwa ya wasomi, wasanii na wanafikra kutoka nchi nyingi duniani wametoa wito wa kuvunjwa mfumo wa ubaguzi wa rangi ulioanzishwa katika ardhi za Palestina ya kihistoria, na kuanzishwa mfumo wa utawala wa kidemokrasia ambao utatoa haki na majukumu sawa kwa wakazi wote wa nchi hiyo bila ubaguzi wowote kwa misingi ya rangi, mbari, dini au jinsia.

  • Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel

    Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel

    Jul 05, 2021 22:05

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kulishambulia tena eneo la Ukanda wa Gaza ni jaribio la kuboresha sura ya jeshi la utawala huo iliyoharibika baada ya kipigo cha karibuni cha wanamapambano wa Kipalestina.

  • Jihad Islami yalaani hatua ya Imarati ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000

    Jihad Islami yalaani hatua ya Imarati ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000

    Jul 05, 2021 07:58

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuwapa uraia Wazayuni 5,000 wa Israel ikisema hatua hiyo ni fedheha na aibu nyingine kwa "serikali ya kisaliti ya Abu Dhabi iliyofanya mapatano na utawala katili wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS