-
Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon
Jul 04, 2021 22:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake ndio wanaobeba dhima ya kisiasa na kisheria kuhusu hatima ya wanadiplomasia wanne wa Kiirani waliotekwa nyara nchini Lebanon mwaka 1982.
-
Hamas:Israel haiwezi kubadili mlingano
Jul 04, 2021 02:46Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, mashambulizi ya Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza pia hayawezi kubadili mlingano.
-
Amir Abdollahian: Israel haina nafasi katika mustakabali wa Asia Magharibi
Jul 03, 2021 03:43Hossein Amir-Abdollahian, mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: "Utawala wa Israel hautakuwa na nafasi yoyote katika mustakabali wa eneo (la Asia Magharibi).
-
Imarati yawapa uraia maelfu ya Wazayuni ndani ya miezi 3
Jul 02, 2021 22:13Raia wapatao 5,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamepewa uraia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani
Jul 01, 2021 03:10Ofisi ya Habari ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali hatua ya mashirika ya Kimarekani ya Google na Apple ya kuliondoa neno 'Palestina' katika ramani zao za dunia. Kwa mujibu wa mashirika hayo, hivi sasa hakuna pahala duniani panapotambulika kama Palestina.
-
Mahmoud Abbas: Kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel hakuwezi kuleta amani
Jun 30, 2021 01:49Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amejibu kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) cha kufungua rasmi ubalozi wa utawala wa Kizayuni mjini Abu Dhabi na kusema kuwa, makubaliano ya uhusiano wa kawaida kati ya nchi za Kiarabu na Israel kamwe hayawezi kuleta utulivu na amani.
-
Kituo cha MOSSAD chashambuliwa Erbil huku Waziri wa Israel akiitembelea UAE
Jun 29, 2021 21:56Huku Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel akifanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu, kambi ya Shirika la Kijasusi la Utawala huo wa Kizayuni (MOSSAD) imeshambuliwa kwa maroketi katika eneo la Erbil, kaskazini mwa Iraq.
-
Haniya na Nasrullah wajadili njia za kupata 'ushindi wa mwisho' dhidi ya Israel
Jun 29, 2021 21:53Viongozi wakuu wa mrengo wa muqawama wa Palestina na Lebanon wamejadili kipigo cha hivi karibuni cha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, sanjari na kubadilishana mawazo juu ya njia zinazopaswa kufuatwa ili kupata 'ushindi mutlaki' dhidi ya utawala huo haramu.
-
Palestina yataka kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Israel
Jun 26, 2021 22:07Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imelaani uhalifu unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kutoa wito wa kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Imarati
Jun 22, 2021 21:57Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.