-
Abdul-Malik al-Houthi: Baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Israel
Aug 20, 2019 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kutokuwa na itikadi na asili ya Wilaya (uongozi katika Uislamu) baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu kumewafanya wawe vibaraka wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Bunge la Jordan laitaka serikali kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 20, 2019 22:03Wawakilishi wa Bunge la Jordan wameitaka serikali ya nchi hiyo imfukuze balozi wa Israel mjini Amman na kumrejesha nyumbani balozi wa nchi hiyo aliyeko Tel Aviv. Vilevile wameitaka serikali itazame upya makubaliano ya amani na utawala huo wa Kizayuni.
-
Utawala wa Kizayuni unashirikiana na Trump katika hatua dhidi ya wabunge Waislamu katika Kongresi ya Marekani
Aug 17, 2019 03:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa haitawaruhusu wajumbe wawili wa Bunge la Marekani, Kongresi, kuingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mkutano wa siri wa wakuu wa Israel na UAE kupanga njama dhidi ya Iran wafichuka
Aug 16, 2019 02:58Maafisa wa ngazi za juu wa utawala haramu wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) hivi karibuni walifanya mkutano wa siri kwa lengo la kupanga njama dhidi ya Iran.
-
IRGC: Vita vinaweza kutokea Israel ikijiingiza Ghuba ya Uajemi; US, UK ndizo zitakazobeba dhima
Aug 12, 2019 10:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeonya kuwa kuwepo kwa namna yoyote ile utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunaweza kusababisha vita katika eneo hilo na kusisitiza kwamba, Marekani na Uingereza ndizo zitakazobeba dhima ya matokeo hasi ya uwepo huo haramu.
-
Mfalme wa Jordan akataa kukutana na Netanyahu na hata kuzungumza naye kwa simu
Aug 04, 2019 03:42Mfalme Abdallah II wa Jordan amekataa ombi la Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel la kukutana naye na hata kufanya naye mazungumzo kwa njia ya simu.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Bila mfumo wa madola mawili, Israel itafikwa na kifo cha kidemografia
Jul 31, 2019 08:21Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mohammad Shtayyeh amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel utakabiliwa na "kifo cha kidemografia" ikiwa utakataa kuunga mkono suluhisho la kuwepo madola mawili, kwa ajili ya kutatua mgogoro wa miongo kadhaa baina yake na Wapalestina.
-
Majeshi vamizi yanayoongozwa na Saudia, Israel zalaaniwa katika ripoti ya UN kwa mauaji ya watoto
Jul 27, 2019 09:46Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen umeua au kujeruhi watoto 729 katika mwaka 2018, ikiwa ni takriban nusu ya idadi ya watoto waliouliwa nchini humo katika kipindi cha mwaka huo.
-
Kubomolewa nyumba za Wapalestina baada ya vita; jinai zisizo na kikomo za Israel
Jul 23, 2019 23:26Utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kushindwa katika vita vilivyodumu kwa muda wa siku mbili tu, hivi sasa umeanzisha duru mpya ya jinai zake dhidi ya Wapalestina kwa kubomoa nyumba za wananchi hao madhulumu.
-
Malalamiko ya mabalozi na wanadiplomasia wa utawala haramu wa Israel, changamoto nyingine kwa Netanyahu
Jul 20, 2019 23:53Kupungua kwa bajeti na mishahara ya mabalozi na wanadiplomasia wa Israel kumewafanya maafisa hao waiandikie barua Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo wakitishia kujiuzulu.