-
Hamas: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameisaliti Palestina
Jul 20, 2019 03:17Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmad bin Muhammad Aal Khalifa cha kukukata na kufanya mazungumzo hadharani na mwenzake wa utawala haramu wa Israel, Israel Katz nchini Marekani.
-
Israel yatiwa kiwewe na nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon
Jul 19, 2019 01:56Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza habari ya kuchukuliwa hatua mpya na utawala huo ghasibu za kuimarisha ulinzi katika maeneo ya kiistratijia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni kutokana na kuiogopa Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain akiri kuanzishwa uhusiano wa nchi yake na Israel
Jul 18, 2019 21:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amekariri tena madai yake kwamba kuanzishwa uhusiano wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel ndio 'msingi wa amani halisi' katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 11:10Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
-
Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa "Muamala wa Karne"
Jul 06, 2019 21:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa itaendeleza harakati za kupinga mpango eti wa amani uliozusha makelele mengi wa Rais Donald Trump wa Marekani baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne"
-
Maandamano ya wahajiri wa Ethiopia mjini Haifa, kupinga ukatili na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel
Jul 06, 2019 03:03Jamii ya wahajiri wa Ethiopia wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, imeisababishia changamoto mpya serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, kutokana na maandamano yake mapya mjini Haifa.
-
Israel yawatia mbaroni makumi ya Wayahudi wa Kiethiopia, maandamano yashtadi
Jul 04, 2019 21:54Makumi ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia wamekamatwa na jeshi la Polisi la utawala haramu wa Israel huku maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel yakishtadi.
-
OIC yalaani hatua ya Israel ya kuchimba njia ya chini ya ardhi Aqsa
Jul 04, 2019 09:17Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeukodoa vikali utawala haramu wa Israel kwa kuchimba njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa mashariki mwa mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.
-
Wayahudi wa Ethiopia waandamana kulalamikia ukatili wa polisi ya Israel
Jul 03, 2019 02:55Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel
Jul 03, 2019 02:50Serikali ya Oman imekanusha vikali madai ya Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) aliyedai kuwa Oman ipo mbioni kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo haramu.