-
Manowari za Jeshi la Iran zatia nanga bandari ya Dar es Salaam, Tanzania
Mar 01, 2016 12:16Manowari ndogo kadhaa za jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizobeba ujumbe wa amani na urafiki zimetia nanga katika bandari ya mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.